Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema kweli?Na kweli ukimwi upo nje nje saivi na magonjwa ya zinaa kibao ........
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni bongo pekee ambapo mtu haamini mpaka ashugudie kwa macho yake [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23]
Habari wanajamvi ,nimeona nivute kigoda niwashauri .Kwa sasa wengi mme invest kwenye kubanjuana na kulialia kisa mapenzi ,wengine mbaenda mbali mechi za ugenini mnacheza peku peku jalini afya kwanza ,🚶🚶🚶🚶🚶🚶
Hatari mkuu.Na inajiremba kweli ,imeacha kuwa rafu kama zamani ukiiona utaishia sema Mashalaa🤣🤣🤣,kumbe maisha yanaenda kulala forever