Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,921
- 4,240
mh sijapenda kabisa tabia yako heee baada ya kumtumia miaka 7 yote hiyo leo unataka kumuacha kirahic hivyo? shindwa kabisa!!! kwanza tuambie hapa kwann upendo unafifia acha kufumbafumba ooh home hawampendi kwan ndo watakaa nae wewe hujatulia tu!! na hiyo dhambi lazima itakutafuna!! kumbuka malipo ni hapahapa duniani! ovyoooo!
Watu wengine hamna ubinaadamu kabisa, umgegede mtoto wa mtu miaka saba, umchoshe halafu ufikirie kumuacha! Muogopeni muumbaJamani mimi nina mchumba wangu mwaka wa 7 sasa,kwetu hajulikani rasmi na nina mpango siku moja nikamtambulishe,lakini inavyoonesha home hawamkubali sana na mimi mwenyewe wazo la kumuoa nahisi linafifia.Kumuacha naogopa coz kuna siku alinambia siku nikimuacha ANAJIUA so sielewi jamani NAOMBENI MAWAZO YENU NIFANYE NINI???
Hell no!! yaani 7 years wala hujamtambulisha?, are you serious?...eish!!
Hivi naye huyo mwanadada miaka yote 7 wala hajatambulishwa bado tu anasubiria dodo chini ya mwarobaini...!!!
Mapenzi ya dotcom bhanaaaa...ptuuuu!!!
Kwanza anatuchanganya.Anasema hajamtambulisha then anasema hawampendi..How come?
Kwa nini upendo unapungua hadi unafikiria kumuacha?
Jamani mimi nina mchumba wangu mwaka wa 7 sasa,kwetu hajulikani rasmi na nina mpango siku moja nikamtambulishe,lakini inavyoonesha home hawamkubali sana na mimi mwenyewe wazo la kumuoa nahisi linafifia.Kumuacha naogopa coz kuna siku alinambia siku nikimuacha ANAJIUA so sielewi jamani NAOMBENI MAWAZO YENU NIFANYE NINI???
Jiue kabla haujamuacha. Atabaki anahuzunika.
ha ha ha; solusheni zako kama za mganga wa kienyeji.
kama unampenda usimuache kwenu hawamkubali wao ndo watakaa nayee wacha uhuni aiseee
uchumba gani mtu hajulikani kwenu.mi navojua mchumba ni yule ambae umeenda kwao na pande zote zimeridhia mfunge ndoa.huyo ni mpenzi tu wa kimtaa . miaka 7 duh kuna watu wana moyo wa chuma mi masaa 12 tu sikai,mimi nikishaanza kuhesabu sekunde ikifika ya 57 husomeki naanza kusogeza mguu 59,60 huyooKwa nini unataka kumuacha???Tabia mbaya au umemchoka tu