Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,921
- 4,240
mh sijapenda kabisa tabia yako heee baada ya kumtumia miaka 7 yote hiyo leo unataka kumuacha kirahic hivyo? shindwa kabisa!!! kwanza tuambie hapa kwann upendo unafifia acha kufumbafumba ooh home hawampendi kwan ndo watakaa nae wewe hujatulia tu!! na hiyo dhambi lazima itakutafuna!! kumbuka malipo ni hapahapa duniani! ovyoooo!
Ni kweli analeta visababu visivyo na msingi