Mapenzi yetu yana miaka saba sasa............

Mapenzi yetu yana miaka saba sasa............

mh sijapenda kabisa tabia yako heee baada ya kumtumia miaka 7 yote hiyo leo unataka kumuacha kirahic hivyo? shindwa kabisa!!! kwanza tuambie hapa kwann upendo unafifia acha kufumbafumba ooh home hawampendi kwan ndo watakaa nae wewe hujatulia tu!! na hiyo dhambi lazima itakutafuna!! kumbuka malipo ni hapahapa duniani! ovyoooo!

Ni kweli analeta visababu visivyo na msingi
 
Jamani mimi nina mchumba wangu mwaka wa 7 sasa,kwetu hajulikani rasmi na nina mpango siku moja nikamtambulishe,lakini inavyoonesha home hawamkubali sana na mimi mwenyewe wazo la kumuoa nahisi linafifia.Kumuacha naogopa coz kuna siku alinambia siku nikimuacha ANAJIUA so sielewi jamani NAOMBENI MAWAZO YENU NIFANYE NINI???
Watu wengine hamna ubinaadamu kabisa, umgegede mtoto wa mtu miaka saba, umchoshe halafu ufikirie kumuacha! Muogopeni muumba
 
Hell no!! yaani 7 years wala hujamtambulisha?, are you serious?...eish!!
Hivi naye huyo mwanadada miaka yote 7 wala hajatambulishwa bado tu anasubiria dodo chini ya mwarobaini...!!!
Mapenzi ya dotcom bhanaaaa...ptuuuu!!!

Kwanza anatuchanganya.Anasema hajamtambulisha then anasema hawampendi..How come?
 
Kwanza anatuchanganya.Anasema hajamtambulisha then anasema hawampendi..How come?

Kama uwezo wa kujieleza ni mdogo hivyo, sidhani hata huko kutambulisha ataweza. Amuache tu huyo binti wa watu apumuwe.
 
heri umuache dada wa watu. Wanaume mnaoshikiwa akili kwenu mnasumbua sana kwenye ndoa.
 
Jamani mimi nina mchumba wangu mwaka wa 7 sasa,kwetu hajulikani rasmi na nina mpango siku moja nikamtambulishe,lakini inavyoonesha home hawamkubali sana na mimi mwenyewe wazo la kumuoa nahisi linafifia.Kumuacha naogopa coz kuna siku alinambia siku nikimuacha ANAJIUA so sielewi jamani NAOMBENI MAWAZO YENU NIFANYE NINI???

kwani alikua awe mke wa familia au wa kwako,huna haya miaka saba ETI mimi mwenyewe wazo la kumuoa linafifia khaaaa,unashikiwa mawazo mpaka hisia,umenikera sana coz huna msimamo
 
wawowaji wa siku hizi ni majanga tu,yaani umtumie for 7yrs halafu unabana pua 'nataka kumuacha' una roho ngumu ww Mungu akusamehe hujui ulitendalo.
 
ila pamoja na unanga wa huyu jamaa...mademu wasiku hizi wamekuwa wapuuzi sana. wee miaka saba unagegedwa tuu hujistukii loh!!!
 
kuwa na msimamo kaka kama kweli unampenda huwezi kumwacha kirahisirahisi!
 
Inamaana Kama kwenu hawamtaki ndo nini?sitaki kuamini kuwa ndo sababu ya upendo kupungua labda uwe umeshikiwa akili na ndugu zako.
 
Sasa mnaishi kwa malengo gani na mapenzi yapi hayo, mkuu naona huna kwenye mapenzi maana baada ya muda wote huo bado familia yako have say in your life.......mwambie kuliko kupotezeana time.
 
Kwa nini unataka kumuacha???Tabia mbaya au umemchoka tu
uchumba gani mtu hajulikani kwenu.mi navojua mchumba ni yule ambae umeenda kwao na pande zote zimeridhia mfunge ndoa.huyo ni mpenzi tu wa kimtaa . miaka 7 duh kuna watu wana moyo wa chuma mi masaa 12 tu sikai,mimi nikishaanza kuhesabu sekunde ikifika ya 57 husomeki naanza kusogeza mguu 59,60 huyoo
unigegede miaka 7 uje unitose , lazima niloge kikojoleo chako
shosti niambie umegegedwa miaka mingapi wewe?
 
Back
Top Bottom