Natamani kama namie ningezaliwa na kuolewa mapema pengine ningesema kama wewe kua namshukuru mungu kwa kunipa mume.
Damn...... Baasi! Nikwambie kitu hommie?yaani unajua am speechless hommie. sasa ile makitu......
Hommie........ HII NI KWARESMA!yaani unajua am speechless hommie. sasa ile makitu......
Jamani mimi nina mchumba wangu mwaka wa 7 sasa,kwetu hajulikani rasmi na nina mpango siku moja nikamtambulishe,lakini inavyoonesha home hawamkubali sana na mimi mwenyewe wazo la kumuoa nahisi linafifia.Kumuacha naogopa coz kuna siku alinambia siku nikimuacha ANAJIUA so sielewi jamani NAOMBENI MAWAZO YENU NIFANYE NINI???
🤣🤣🤣kumbe wee ulikuwa wamgegeda tuu dada wa watu na kumpotezea muda....sio fresh hivyo kaka
HahaHell no!! yaani 7 years wala hujamtambulisha?, are you serious?...eish!!
Hivi naye huyo mwanadada miaka yote 7 wala hajatambulishwa bado tu anasubiria dodo chini ya mwarobaini...!!!
Mapenzi ya dotcom bhanaaaa...ptuuuu!!!
Huuu mtego nilishaingia mimi,,,,Jamani mimi nina mchumba wangu mwaka wa 7 sasa,kwetu hajulikani rasmi na nina mpango siku moja nikamtambulishe,lakini inavyoonesha home hawamkubali sana na mimi mwenyewe wazo la kumuoa nahisi linafifia.Kumuacha naogopa coz kuna siku alinambia siku nikimuacha ANAJIUA so sielewi jamani NAOMBENI MAWAZO YENU NIFANYE NINI???