Mapenzi yetu yana miaka saba sasa............

Mapenzi yetu yana miaka saba sasa............

Natamani kama namie ningezaliwa na kuolewa mapema pengine ningesema kama wewe kua namshukuru mungu kwa kunipa mume.

usjali sana utampata tu hata mm sikujua kama ningekuwa hivi manake sikuombaga lakin Mungu alinipa kwa upendo wake kwangu. so usijali sana just hope Mungu atakuwa pamoja na wewe ili akupatie.
 
Hee we mkaka ajabu,yaan bila ata aibu jamani,em jifikirie mara mbil mbil kama we ndo ungekuwa dem afu mchumba ako uliyedum nae kwa miaka 7 anakubwaga ungejiskiaje?usichopendwa kutendwa wewe usipende kuwatenda wengine!wenzio huwa hawaend kiivo.
 
Miaka7 nimingi jitahidi kumweleza mama kijamaa nakisha mama ataongea na baba then mambo yatakwenda poaa!
 
Kaka kama unahisi mapenzi yamekwisha usithubutu kumuoa kwani hiyo ndoa itakuwa ndoano kwako, usijali swala la yeye kujiua kwani halipo hilo... tuishi na tunaowapenda na sio uoe kwa sababu anakupenda sana think about urself pia.. we made to be happy na sio vinginevyo....
 
inakuwaje unakaa na mtu miaka saba halafu hueleweki..................... me uchumba ni miaka 2 mwisho
 
Jamani mimi nina mchumba wangu mwaka wa 7 sasa,kwetu hajulikani rasmi na nina mpango siku moja nikamtambulishe,lakini inavyoonesha home hawamkubali sana na mimi mwenyewe wazo la kumuoa nahisi linafifia.Kumuacha naogopa coz kuna siku alinambia siku nikimuacha ANAJIUA so sielewi jamani NAOMBENI MAWAZO YENU NIFANYE NINI???

Siku ukiwa unampango wa kumuacha hebu msagie chupa na sumu ya panya kabisa kisha umwambia wewe na yy baaaaasi tuone kama atajiua kwa vitu hivyo
 
Hell no!! yaani 7 years wala hujamtambulisha?, are you serious?...eish!!
Hivi naye huyo mwanadada miaka yote 7 wala hajatambulishwa bado tu anasubiria dodo chini ya mwarobaini...!!!
Mapenzi ya dotcom bhanaaaa...ptuuuu!!!
Haha
 
Jamani mimi nina mchumba wangu mwaka wa 7 sasa,kwetu hajulikani rasmi na nina mpango siku moja nikamtambulishe,lakini inavyoonesha home hawamkubali sana na mimi mwenyewe wazo la kumuoa nahisi linafifia.Kumuacha naogopa coz kuna siku alinambia siku nikimuacha ANAJIUA so sielewi jamani NAOMBENI MAWAZO YENU NIFANYE NINI???
Huuu mtego nilishaingia mimi,,,,
Nimedate msichana miaka 10+,,,, hisia ziliiishaa kabisa mnakaa muda zinarudi….
Mama yangu huniambia mapenzi ni kama bahari kuna siku inakupwa na na kuna siku inajaaa….na akasema wewe ndio captein wa maisha yako, wemgine ni washauri tu sio lazima kufuata ushauri wao.

Huu ni mwaka wa 10+,,,,0level. hadi nimeenda chuo na kumaliza niko na mtu yule yule,,,, love isn’t for weak pipo. 👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽👏🏽
 
Back
Top Bottom