Mapenzi

 
Anataka kubembelezwa huyo. Kama unampenda kweli jaribu na endelea kumbembeleza atakaa sawa mwenyewe.
 
Hili jukwaa la MMU Kwa malalamiko jukwaa la malalamiko halioni ndani!!! Kama mapenzi yana-run dunia basi ni kidikteta wala si kidemokrasia🙄
 
Khaa!! Jinga kwelikweli wewe.. Kapata mwingine huyo!!!
 
dah nikifikiria ugali kwa samaki na kachumbari ulivyo mtamu halafu nisile kwa ajili ya mtu mmoja, ndugu bahari kubwa sana hii, ukikosa kibua utapata saladini
 
pole soma hapa acha kulialia kwa ajiri ya mapenzi labda utazidi kupoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…