Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Na kwa nini ujisahau kiasi hicho? Ishi kwa strategy wangu..
Ukipenda unajikuta strategy zote zimevurugika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kwa nini ujisahau kiasi hicho? Ishi kwa strategy wangu..
dah! Ma fellow members nna tatzo nna wiki sasa chakula hakipiti sioni cha kufanya wala kushika nlikuwa na mpenzi wangu tunapendana sana yan bt siku ya siku nlimkwaza k2 kdogo sana sasa ndo ikawa sababu hatak kuniona hataki kusikia chchte toka kwangu hata zawdi zangu za sikukuu leo kanigomea kupokea yan i don have anything to do maumivu nliyonayo hayasemeki naombeni ushauri wenu jaman[/QUOTE]
Salumu waliy kwani wewe si ndio umemkwaza...., hata yeye kwa sasa ana maumivu pia..., hebu mpatie muda yapungue ndio umtake radhi kama kweli unamaanisha.
...nna tatzo nna wiki sasa chakula hakipiti sioni cha kufanya wala kushika
pole soma hapa acha kulialia kwa ajiri ya mapenzi labda utazidi kupoadah! Ma fellow members nna tatzo nna wiki sasa chakula hakipiti sioni cha kufanya wala kushika nlikuwa na mpenzi wangu tunapendana sana yan bt siku ya siku nlimkwaza k2 kdogo sana sasa ndo ikawa sababu hatak kuniona hataki kusikia chchte toka kwangu hata zawdi zangu za sikukuu leo kanigomea kupokea yan i don have anything to do maumivu nliyonayo hayasemeki naombeni ushauri wenu jaman