Mapenzi

Mapenzi

dah! Ma fellow members nna tatzo nna wiki sasa chakula hakipiti sioni cha kufanya wala kushika nlikuwa na mpenzi wangu tunapendana sana yan bt siku ya siku nlimkwaza k2 kdogo sana sasa ndo ikawa sababu hatak kuniona hataki kusikia chchte toka kwangu hata zawdi zangu za sikukuu leo kanigomea kupokea yan i don have anything to do maumivu nliyonayo hayasemeki naombeni ushauri wenu jaman[/QUOTE]

Salumu waliy kwani wewe si ndio umemkwaza...., hata yeye kwa sasa ana maumivu pia..., hebu mpatie muda yapungue ndio umtake radhi kama kweli unamaanisha.
 
Anataka kubembelezwa huyo. Kama unampenda kweli jaribu na endelea kumbembeleza atakaa sawa mwenyewe.
 
Hili jukwaa la MMU Kwa malalamiko jukwaa la malalamiko halioni ndani!!! Kama mapenzi yana-run dunia basi ni kidikteta wala si kidemokrasia🙄
 
Khaa!! Jinga kwelikweli wewe.. Kapata mwingine huyo!!!
 
dah nikifikiria ugali kwa samaki na kachumbari ulivyo mtamu halafu nisile kwa ajili ya mtu mmoja, ndugu bahari kubwa sana hii, ukikosa kibua utapata saladini
 
dah! Ma fellow members nna tatzo nna wiki sasa chakula hakipiti sioni cha kufanya wala kushika nlikuwa na mpenzi wangu tunapendana sana yan bt siku ya siku nlimkwaza k2 kdogo sana sasa ndo ikawa sababu hatak kuniona hataki kusikia chchte toka kwangu hata zawdi zangu za sikukuu leo kanigomea kupokea yan i don have anything to do maumivu nliyonayo hayasemeki naombeni ushauri wenu jaman
pole soma hapa acha kulialia kwa ajiri ya mapenzi labda utazidi kupoa
 
Back
Top Bottom