Mapepo ya Baba mwenye nyumba

Mapepo ya Baba mwenye nyumba

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Jana usiku baba mwenye nyumba wangu alikuja kugonga dirishani kwangu usiku muda wa kula daku.
Nikaenda kumfungulia, akaingia ndani akiwa amevalia msuli wake na kizibao cha ndani aina ya singlend.
Akaongea mengi, lakini kikubwa alikuwa nataka nimtatulie shida yake, anasema kuwa hapatwi na nguvu za kushiriki tendo la ndoa mpaka aingiliwe kinyume na mzingira.
Akaniahidi kuwa leo angenipa milioni moja na kila nikimuingilia atakuwa ananipa laki moja.
Pia akaniomba nimtunzie siri yake.
Nikamwambia mzee wangu kwa kuwa tu watu wa imani tofauti, naomba niombe kibali cha kukuingilia kutoka kwa Muumba wangu.
Nikapiga magoti na kuanza kukemea uovu na dhambi ya ufirauni vinavyommaliza huyo mzee.
Mzee akaanza kuniporomoshea matusi kuwa eti mimi nilikuwa naomba kuingiliwa na yeye (akanigeuzia kibao)
Mkewe alipotaka kujua ugomvi na zogo ni vya nini mi nkamuuliza mumeo amekuaga kuwa anaenda wapi? Akasema kamtoroka alipokuwa usingizini.
Nikamwambia mzee, jiheshimu, ukishindwa kujiheshimu, unajikaribishia aibu na kudharaulika.
Wito wangu kwenu wana jamii wenzangu, usifungue mlango wa nyumba yako kabla hujajua mgeni wako anadhamira gani na wewe.
 
kakangu kweli hayo ni mapepo.umefanya vyema kumuombea na usichoke kumuombea maana kakamatwa na shetani.
ila anaweza kukutangazia kuwa una hako kamchezo kwa kujihami kwake.
 
Mungu mkubwa, kumbe na jirani yangu alisha fuatwa na huyo BABUSHKA akimweleza kuwa amuingilie halafu atamsamehe kodi.
Kuna mpangaji mwenzetu walikuwa wanaelewana sana, nahisi yule aliingia mkenge.
kakangu kweli hayo ni mapepo.umefanya vyema kumuombea na usichoke kumuombea maana kakamatwa na shetani.
ila anaweza kukutangazia kuwa una hako kamchezo kwa kujihami kwake.
 
mmh pole
umefanya vyema kuomba
kam vp hama nyumba kakangu
na km muda wa kuhoa umefika oa angekuona upo bze na mkeo wala asingeleta io proposal yake
pole
 
eee pole sana ndugu! dunia ya leo jamani inackitisha sana.
 
Nilisha wahi kusikia kitu kama hiki kutoka kwa jamaa yangu mmoja kuwa mitaa ya mwananyamara kuna baba mwenye nyumba anawafuataga wapangaji wake usiku ili wambokoe.
 
kaka umeua hujui kuwa humu na facebook kuna waandishi wa habari wa Ijumaa na Kiu shauri yako lazima watie timu kwako kupata habari zaidi umefanya kosa kubwa kutaja jina imagine kuna mtoto wake humu anasoma hii thread lol
 
Hapo mshikaji kacheza kama pele, atakula mbumba za waandishi ile mbaya, na kama kuna mtoto wake humu ndani, basi habari ndiyo hiyo, kwamba baba yake si ridhki
kaka umeua hujui kuwa humu na facebook kuna waandishi wa habari wa Ijumaa na Kiu shauri yako lazima watie timu kwako kupata habari zaidi umefanya kosa kubwa kutaja jina imagine kuna mtoto wake humu anasoma hii thread lol
 
Wito wangu kwenu wana jamii wenzangu, usifungue mlango wa nyumba yako kabla hujajua mgeni wako anadhamira gani na wewe.

Mkuu, ni ngumu kujua dhamira ya mtu in advance. Unless uwe na supernatural ability. Ulichofanya ni kizuri sana. Huyo mzee anasumbuliwa na mashetani na kiboko cha mashetani ni jina la YESU. Yaani mzee pamoja na "mwezi mtukufu" yeye bado ni mtukutu tu!!! Ama kweli shetani hana adabu. Apigweeeeeeeeeeeeeee
 
mtu mwingine hawezi sema shida zake pale mlangoni kwanza si ustaarabu,pole kwa yote lkn mm ningeomba tukae kikao na mkewe pamoja na mjumbe na yy muhusika,ningeanza kumuhoji mkewe kama anapewa huduma kila anaphitaji,naamini tungetatua tatizo,kama jana kamtoroka it can be anatorokwa daily n maybe mkewe kesha pata wasiwasi mara kazaa,ni mtazamo tu jamani.
Jana usiku baba mwenye nyumba wangu alikuja kugonga dirishani kwangu usiku muda wa kula daku.
Nikaenda kumfungulia, akaingia ndani akiwa amevalia msuli wake na kizibao cha ndani aina ya singlend.
Akaongea mengi, lakini kikubwa alikuwa nataka nimtatulie shida yake, anasema kuwa hapatwi na nguvu za kushiriki tendo la ndoa mpaka aingiliwe kinyume na mzingira.
Akaniahidi kuwa leo angenipa milioni moja na kila nikimuingilia atakuwa ananipa laki moja.
Pia akaniomba nimtunzie siri yake.
Nikamwambia mzee wangu kwa kuwa tu watu wa imani tofauti, naomba niombe kibali cha kukuingilia kutoka kwa Muumba wangu.
Nikapiga magoti na kuanza kukemea uovu na dhambi ya ufirauni vinavyommaliza huyo mzee.
Mzee akaanza kuniporomoshea matusi kuwa eti mimi nilikuwa naomba kuingiliwa na yeye (akanigeuzia kibao)
Mkewe alipotaka kujua ugomvi na zogo ni vya nini mi nkamuuliza mumeo amekuaga kuwa anaenda wapi? Akasema kamtoroka alipokuwa usingizini.
Nikamwambia mzee, jiheshimu, ukishindwa kujiheshimu, unajikaribishia aibu na kudharaulika.
Wito wangu kwenu wana jamii wenzangu, usifungue mlango wa nyumba yako kabla hujajua mgeni wako anadhamira gani na wewe.
 
Mambo mengine bora tu uwe unasikia kuwa yamewatokea wenzako, yakikutokea wewe ni hatari kweli kweli.
 
Hapo mshikaji kacheza kama pele, atakula mbumba za waandishi ile mbaya, na kama kuna mtoto wake humu ndani, basi habari ndiyo hiyo, kwamba baba yake si ridhki
sidhani kama ni busara kutaja mtu jina humu JF
 
Back
Top Bottom