Mapicha: Majengo ya Gaza yamebaki magofu, yaani ghost town, jamani HAMAS waliwaza nini

Nyamizi ulikuwa ukilalama kuwa Urusi inapiga bembea na hospital, kuharibu makazi na miundombinu huko Ukraine. Leo mbona hapa unashabikia kuwa objective basi, au hapa kwa sababu mtendaji Ni taifa teule.
 
Hii ikitokea nchi za akina sie choka mbaya tusahau kuinuka tena kama nchi. Maana kwa miaka 60 tu, tupo hapa....... Je tukisambaratishwa hivi.

Amani ni kitu muhimu katika kuleta maendeleo.
TZ hakuna amani ila kuna utulivu🤣🤣🤣🤣💺
 
Omera tumpongeze pia Urusi kwa kupiga majengo na kuua raia huko Ukraine maana naona scenes zinafanana.

Kule ni vita baina ya mataifa, huku ni vita baina ya magaidi wa dini na wapenda amani.
 
Hamas wajinga sana sana. Walidanganywa na kina Faiza Fox
 
Nimewadharau sana Israel wanapigana na majengo na wanawake na watoto badala ya wanaume wenzao.
Wewe ndiyo wa kudharauliwa,hao unaowata wanaume wamejificha ndani ya majengo,chini ya ardhi,ili uwafikie lazima majumba yabomole,
Hata hivyo walipoua huko Israel waliua watoto, wanawake na wazee, kwa hiyo nao walitiwa na watoto na wanawake ni sawa tu
 
Kumbe mpo active mmejificha tu naona mmekuja kama mbogo aliyejeruhiwa 2🤣
 
Wewe mtoa mada unaonyesha hujui thamani ya uhuru, nchi za Africa wangeogopa kufa unadhani wangepata uhuru.

Kuna wakati mnaongea kama walevi hivi wewe unadhani Israel kashinda vita? Kama unamini vile basi kapime akili zako zinaonyesha hauko sawa.

We unajua hayo majumba anayo vunja Israel kila boom moja lina cost kiasi gani?

We unajua kila missile ya Iron dome ina cost bei gani

We unajua kifaru kimoja cha Israel Markava kina cost ngapi

We unajua hasara aliyo ipata Israel kuhamisha watu wake kutoka Ghilaf gaza, Sedod na Asqalani na badhi ya miji iliopo katikati ya Israel imewagharamia kiasi gani.

Vita sikuvunja majumba hayo majumba labda 20 ndio thamani ya boom moja

We unafahamu cost ya ndege moja ya kivita ikiruka bila kupigwa inagharimia kiasi gani


Israel vita kashindwa ndio sababu kakasirika anavunja majumba kawauwa wanawake, watoto, wazee na badhi ya vijana wala siwapiganaji wa Hamasi.

Ukitaka kujua Israel vita hi kapata aibu si kidogo na pia anaogopa kuingia Gaza anajua atapigika na America na Uingereza wamepeleka wanajeshi kwenda kumsaidi si ajabu Ufaransa na Mjerumani na wao wako njiani kupeleka wanajeshi kumsaidia Israel.


Israel anawafahamu Hamasi vizuri ndio mana anasita kuingia Gaza na America ndio anampush aingie Ground war.

Nakufahamisha tena usiwe mjinga hakuna uhuru ukaupata bila kumwaga damu hasa kama walio chukua ardhi yako wanasaidiwa na US na Europe na badhi ya mataifa wenye chuki na Uislam, lakini sis waislam uzuri wetu tunamini kufa ni bora kuliko kuishi sababu tunaenda kwa Mungu ambaye hadhulumu wala hakuonei kuliko kubaki duniani unamuogopa eti US ana F16 au F35 😂

Afu mimi navyo ona hi vita kila ikizidi kusonga mbele ndio mwisho wa US na Muingereza, mfaransa na Mjeruman.

Wakati utathibitisha
 
Ngozi nyeusi ndio watu wamwisho asee imagine tunajivunia amani kwamba tunautulivu wakujenga nchi ila tumezidiwa parefu na gaza ambao kila mara majengo yanashushwa
Nimeshangaa sana...hawa watu wanavita visivyokoma..wanakuaje na maendeleo kutuzidi sisi
 
Tuliozoe kuona Moshi wa unaotokana na BUSH FIRE

Tuendelee kuwa wapole ,Moshi unaotokana na vyuma wakuusikia kwa MAJIRANi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…