Mapicha: Majengo ya Gaza yamebaki magofu, yaani ghost town, jamani HAMAS waliwaza nini

Aisee Israel hawatanii kudadadeki, wanapiga wanapiga so mchezo.

Sijui HAMAS waliwaza nn kuishambulia na kuua waisrael jamani.

Nadhani wapalestina watawaua HAMAS wote,la sivyo wao wenyewe ni HAMAS wote
 
Hamas wamewateka raia ili kubadilishana na wafungwa wao waliopo katika magereza ya Israel. Wanaolengwa na Hamas ni wanajeshi wa israeli na miundombinu ya kijeshi. Israel yeye amelenga raia 100% anapigana vita unprofessional kabisa.

Nenda wewe kapigane vita proffesional.
Sio kulialia nyuma ya keyboard
 
Hii ikitokea nchi za akina sie choka mbaya tusahau kuinuka tena kama nchi. Maana kwa miaka 60 tu, tupo hapa....... Je tukisambaratishwa hivi.

Amani ni kitu muhimu katika kuleta maendeleo.
Tuna rudi stone Age, Ujima.

Dar inakuwa kijiji....

Watu watarudi kijijini kwao kulima
 
Hamas wamewateka raia ili kubadilishana na wafungwa wao waliopo katika magereza ya Israel. Wanaolengwa na Hamas ni wanajeshi wa israeli na miundombinu ya kijeshi. Israel yeye amelenga raia 100% anapigana vita unprofessional kabisa.
kwamba lile tukio lililopekekea haya yote walilenga miundombinu? mwarab akikuomba takle utampa upo radhi kudanganya asee
 
Hawa jamaa inaonekana wana survive kwa misaada ya nchi za kiarabu na nchi nyingine na sio tozo na kodi kama huku, ndio maana japo hali ni hivyo magofu lakini baada ya mwaka magorofa yamesimama.
Lazima wajengewe maghorofa ili waweze kuenea sehemu ya kuishi.Eneo lile ni dogo sana kwa population yao,halafu sasa si wavivu wa kuzaliana
 
Inapaswa Sasa Dunia iwaombe Israel inatosha kama kulipiza ishatosha hamas wamejifunza mrejesho wa Kila action Yao mbaya
Issue sio kulipiza, lengo ni kulipoteza kabisa hilo kundi la kigaidi
 
HAMAS hawana faida wanaleta HASARA tu wanasababisha watu wateseke ....tuna support vipi HAMAS?? HAMAS is a disgrace to PALESTINE....human shield is not acceptable in WAR
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…