Mapigano mafupi yametokea kwenye mpaka wa India na China

Artifact Collector

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2019
Posts
6,617
Reaction score
10,205
Troops from China and India fought on their disputed border Dec. 9, leading to minor injuries on both sides, New Delhi said, in the most serious such incident since 2020.

Samahani kwa msiojua kingereza, Ila kwa mwendo huu ni wazi marekani ataendelea kutawala mpaka Leo hii china na India wanapigania mpaka
 
China itakuja kuipita marekani kiuchumi taka mstake.
 
sio habari hiyo maana kila siku kukicha wanadundana hapo
 
China angekuwa threat kwa US, mapema saana US angetia mguu hapo India. Segere anayochezeshwa Putin Ukraine mchina anaitazama kwa makini sana.
 
Segere Gani urusi anayochezeshwa wakati anaendelea kuchukua maeneo?
 
Pakistan yupo kwa niaba ya Marekani.
India haeleweki
Sasa hivi, hakuna anaekubali kujitoa muhanga kwaajili ya maslahi ya Marekani. Hata wale shost zake wa Ulaya, wameanza kukaa nae kwa akili. Maana hali ya uchumi wanayopitia, sio ya kawaida!
 
Drone iliyoua Gaidi Afghan ilitumia anga la Pakistan
 
Hao Askari wa mpakani huwa kawaida yao kuzichapa
Maana mchina akianza sarakasi tu mhindi anaanza kuimba hapo ngumi zinaanza
Hizi ngumi za mpakani hata Pakistan na India huwa wanazipiga sana ila vita hamna
Uchumi baba nani atakubali kurudi nyuma na kutumia mabilioni kwenye vita?
 
Back
Top Bottom