Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,617
- 10,205
China itakuja kuipita marekani kiuchumi taka mstake.Troops from China and India fought on their disputed border Dec. 9, leading to minor injuries on both sides, New Delhi said, in the most serious such incident since 2020.
Samahani kwa msiojua kingereza, Ila kwa mwendo huu ni wazi marekani ataendelea kutawala mpaka Leo hii china na India wanapigania mpaka
SIDHA[/QUOTE]SIDHANI.China itakuja kuipita marekani kiuchumi taka mstake.
SIDHANI.[/QUOTE]Wanauchumi wanasema hivyoSIDHA
Segere Gani urusi anayochezeshwa wakati anaendelea kuchukua maeneo?China angekuwa threat kwa US, mapema saana US angetia mguu hapo India. Segere anayochezeshwa Putin Ukraine mchina anaitazama kwa makini sana.
Wanauchumi wanasema hivyoSIDHANI.
Pakistan yupo kwa niaba ya Marekani.China angekuwa threat kwa US, mapema saana US angetia mguu hapo India. Segere anayochezeshwa Putin Ukraine mchina anaitazama kwa makini sana.
Sasa hivi, hakuna anaekubali kujitoa muhanga kwaajili ya maslahi ya Marekani. Hata wale shost zake wa Ulaya, wameanza kukaa nae kwa akili. Maana hali ya uchumi wanayopitia, sio ya kawaida!Pakistan yupo kwa niaba ya Marekani.
India haeleweki
Drone iliyoua Gaidi Afghan ilitumia anga la PakistanSasa hivi, hakuna anaekubali kujitoa muhanga kwaajili ya maslahi ya Marekani. Hata wale shost zake wa Ulaya, wameanza kukaa nae kwa akili. Maana hali ya uchumi wanayopitia, sio ya kawaida!