P pilipili kichaa JF-Expert Member Joined Sep 3, 2013 Posts 18,406 Reaction score 14,643 Mar 18, 2024 #101 Sultan MackJoe Khalifa said: Hamas wabishi sana, ila ndio inatakiwa ukidai haki usiwe lelemama. Click to expand... Mbona wewe ni lelemama kudai katiba ya nchi yako?!
Sultan MackJoe Khalifa said: Hamas wabishi sana, ila ndio inatakiwa ukidai haki usiwe lelemama. Click to expand... Mbona wewe ni lelemama kudai katiba ya nchi yako?!
Sultan MackJoe Khalifa JF-Expert Member Joined Nov 24, 2022 Posts 6,782 Reaction score 14,148 Mar 18, 2024 #102 pilipili kichaa said: Mbona wewe ni lelemama kudai katiba ya nchi yako?! Click to expand... wewe nae unaandika kizembe mno.kwani nchi yangu haina katiba?,kwanza nchi yangu unaijua,mimi ni raia wa nchi gani?
pilipili kichaa said: Mbona wewe ni lelemama kudai katiba ya nchi yako?! Click to expand... wewe nae unaandika kizembe mno.kwani nchi yangu haina katiba?,kwanza nchi yangu unaijua,mimi ni raia wa nchi gani?