Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
usione vyaelea vimeundwa. Wachezaji kutoka nje wana sifa kuu 4:Wachezaji wa kibongo wengi wao siyo wa kuwategemea malimbukeni sana hizi timu zetu simba na yanga zingekua zinategemea wachezaji wa kibongo tu tungekua tunatolewa mapema sana
Hata baraza la kitaaluma la madaktari linaitwa medical council of Tanganyika.Waambie hao chawa kila Kona. Wajiuluze pia mbona kile chama Cha wanasheria kinaitwa Tanganyika Law Society au Tundu Lisu's Society (TLS) na sio Tanzania bara Law Society?
Umerogwa wewe, tanganyika ilisilimishwa mwaka 1964, na kupewa jina Tanzania.Ndio uzuzu wenyewe huo. Kama Zanzibar ipo kwanini Tanganyika isiwepo? Nani kakuroga?
Lugha siyo inshu kwenye hizi timu siku hizi kuna ajira mbalimbali kuna wakalimani sasa hapo kujituma ndyo wabongo wanafeli hawajitumi wakishafika Yanga au simba ni ndyo basi anaona kamalizausione vyaelea vimeundwa. Wachezaji kutoka nje wana sifa kuu 4:
1. wote wanapitia shule za mpira utotoni
2. wengi kama sio wote wanajua lugha za kigeni (kiingereza au kifaransa au kireno), sisi wakwetu wanajua kiswahili tu, hawafundishiki na makocha wa kigeni na ndiyo maana hawataki kwenda kucheza nje ya nchi.
3. Woote wanajituma kutaka kufika mbali na kupata pesa
4. Tanzania ni njia yao ya kupita kuelekea timu kubwa nje ya nchi.
Nani kakuroga wewe. Neno Tanzania ni Muunganiko wa majina 2 ya Tanganyika na Zanzibar. Ukisema ipo Zanzibar na Iko Tanzania ni kuwachanganya watu. Kama Zanzibar imefufuka kwanini Tanganyika haifufuki? Hata hivyo kwenye hili hatwezi kuwalaumu wazaNzibar bali tuwalaumu akina mwl Nyerere, pius, Rashid, na wenzake waliyoifuta Tanganyika,Umerogwa wewe, tanganyika ilisilimishwa mwaka 1964, na kupewa jina Tanzania.
Hakuna kuritadi.
uzalendo hujengwa utotoni ikifika ukubwani unatumika. Timu ya Zanzibar kuifunga timu ya Tanganyika inaamsha moyo wa kizalendo kwa nchi yao miongoni mwa watoto na vijana, inaamsha hisia za kujiamini na mshikamano dhidi ya Tanganyika. Na hata timu ya Tanganyika ingeifunga timu ya ndugu zao zanzibar hali ingekuwa hivyohivyo; wangewabeza na kuwaita wala urojo, dhaifu na yakhee. NI mwiko mkubwa kwa muungano kupambanisha Tanganyika na Zanzibar kama mataifa kwenye michezo na vitu vingine. Ushindani ubaki kwenye ngazi za vilabu, watu binafsi au taasisi ndogondogo. Inaleta mpasuko wa aina yake kwa njia yake.Maagizo kutoka juuuu
Ujuaji na kulewa sifa kwa Karia huko.😡Ni mashindano ya kuidhalilisha Tanganyika na watanganyika.
Imefungwa Kila timu.
Ili kujenga brand isngekuwa vizuri zanzibar ikafungwa na tanzania bara kwenye siku muhimu kama mapinduzi. Ndio maana kuna timu za nje zimeapa hazitashiriki tena mashindano ya mapinduzi.Kocha wa ovyo kateua wachezaji wa ovyo.
Kama Hemed moroko ni Head couch wa Taifa stars kwnn Huku bara asingepewa mgunda?
Ilitakiwa Timu angepewa Mgunda aite wachezaji wake na yeye.
Timu ya Taifa ya Tanganyika ambayo haina wachezaji kama Aishi Manula, Dickson Job, Kapombe, Shabalala, Mzize, Kibabage, Mzamiru, Mwamnyeto, chasambi na mshery kwanini ipelekwe kucheza kuliwakilisha Taifa kwenye mashindano? ni ku sabotage image ya Tanzania bara.Ujuaji na kulewa sifa kwa Karia huko.😡
Ndiyo watapata akili binadamu akipata changamoto akili hufanya kazi kwa kiwango cha juu sanaTimu ya Taifa ya Tanganyika ambayo haina wachezaji kama Aishi Manula, Dickson Job, Kapombe, Shabalala, Mzize, Kibabage, Mzamiru, Mwamnyeto, chasambi na mshery kwanini ipelekwe kucheza kuliwakilisha Taifa kwenye mashindano? ni ku sabotage image ya Tanzania bara.