Mapindizi cup Tanzania Bara imedhalilika

Mapindizi cup Tanzania Bara imedhalilika

Mnaolaumu tz kufungwa na hizo timu za taifa, Nitajie nchi moja ktk hayo mataifa sita ambayo timu zake zinashiriki mashindano ya kimataifa ya CAF
 
Wachezaji wa kibongo wengi wao siyo wa kuwategemea malimbukeni sana hizi timu zetu simba na yanga zingekua zinategemea wachezaji wa kibongo tu tungekua tunatolewa mapema sana
usione vyaelea vimeundwa. Wachezaji kutoka nje wana sifa kuu 4:
1. wote wanapitia shule za mpira utotoni
2. wengi kama sio wote wanajua lugha za kigeni (kiingereza au kifaransa au kireno), sisi wakwetu wanajua kiswahili tu, hawafundishiki na makocha wa kigeni na ndiyo maana hawataki kwenda kucheza nje ya nchi.
3. Woote wanajituma kutaka kufika mbali na kupata pesa
4. Tanzania ni njia yao ya kupita kuelekea timu kubwa nje ya nchi.
 
Waambie hao chawa kila Kona. Wajiuluze pia mbona kile chama Cha wanasheria kinaitwa Tanganyika Law Society au Tundu Lisu's Society (TLS) na sio Tanzania bara Law Society?
Hata baraza la kitaaluma la madaktari linaitwa medical council of Tanganyika.
 
Mnaolaumu tz kufungwa na hizo timu za taifa, Nitajie nchi moja ktk hayo mataifa sita ambayo timu zake zinashiriki mashindano ya kimataifa ya CAF
Inayoshiriki ni Taifa Stars sio Kilimanjaro stars
 
usione vyaelea vimeundwa. Wachezaji kutoka nje wana sifa kuu 4:
1. wote wanapitia shule za mpira utotoni
2. wengi kama sio wote wanajua lugha za kigeni (kiingereza au kifaransa au kireno), sisi wakwetu wanajua kiswahili tu, hawafundishiki na makocha wa kigeni na ndiyo maana hawataki kwenda kucheza nje ya nchi.
3. Woote wanajituma kutaka kufika mbali na kupata pesa
4. Tanzania ni njia yao ya kupita kuelekea timu kubwa nje ya nchi.
Lugha siyo inshu kwenye hizi timu siku hizi kuna ajira mbalimbali kuna wakalimani sasa hapo kujituma ndyo wabongo wanafeli hawajitumi wakishafika Yanga au simba ni ndyo basi anaona kamaliza
 
Umerogwa wewe, tanganyika ilisilimishwa mwaka 1964, na kupewa jina Tanzania.
Hakuna kuritadi.
Nani kakuroga wewe. Neno Tanzania ni Muunganiko wa majina 2 ya Tanganyika na Zanzibar. Ukisema ipo Zanzibar na Iko Tanzania ni kuwachanganya watu. Kama Zanzibar imefufuka kwanini Tanganyika haifufuki? Hata hivyo kwenye hili hatwezi kuwalaumu wazaNzibar bali tuwalaumu akina mwl Nyerere, pius, Rashid, na wenzake waliyoifuta Tanganyika,
 
Kocha wa ovyo kateua wachezaji wa ovyo.

Kama Hemed moroko ni Head couch wa Taifa stars kwnn Huku bara asingepewa mgunda?

Ilitakiwa Timu angepewa Mgunda aite wachezaji wake na yeye.
 
Maagizo kutoka juuuu
uzalendo hujengwa utotoni ikifika ukubwani unatumika. Timu ya Zanzibar kuifunga timu ya Tanganyika inaamsha moyo wa kizalendo kwa nchi yao miongoni mwa watoto na vijana, inaamsha hisia za kujiamini na mshikamano dhidi ya Tanganyika. Na hata timu ya Tanganyika ingeifunga timu ya ndugu zao zanzibar hali ingekuwa hivyohivyo; wangewabeza na kuwaita wala urojo, dhaifu na yakhee. NI mwiko mkubwa kwa muungano kupambanisha Tanganyika na Zanzibar kama mataifa kwenye michezo na vitu vingine. Ushindani ubaki kwenye ngazi za vilabu, watu binafsi au taasisi ndogondogo. Inaleta mpasuko wa aina yake kwa njia yake.
 
Kocha wa ovyo kateua wachezaji wa ovyo.

Kama Hemed moroko ni Head couch wa Taifa stars kwnn Huku bara asingepewa mgunda?

Ilitakiwa Timu angepewa Mgunda aite wachezaji wake na yeye.
Ili kujenga brand isngekuwa vizuri zanzibar ikafungwa na tanzania bara kwenye siku muhimu kama mapinduzi. Ndio maana kuna timu za nje zimeapa hazitashiriki tena mashindano ya mapinduzi.
 
Ujuaji na kulewa sifa kwa Karia huko.😡
Timu ya Taifa ya Tanganyika ambayo haina wachezaji kama Aishi Manula, Dickson Job, Kapombe, Shabalala, Mzize, Kibabage, Mzamiru, Mwamnyeto, chasambi na mshery kwanini ipelekwe kucheza kuliwakilisha Taifa kwenye mashindano? ni ku sabotage image ya Tanzania bara.
 
Ndiyo watapata akili binadamu akipata changamoto akili hufanya kazi kwa kiwango cha juu sana
 
Back
Top Bottom