shinyangakwetu
JF-Expert Member
- Jun 25, 2015
- 2,487
- 2,394
Hakuna cha andengenye wala kangi alotakiwa awajibishwe bali alowapa ruksa ya kwenda romania ndo alitakiwa awajibike.
Nani hua anatoa vibali vya kusafiri nje ya nchi?
Nani mwenye mamlaka ya kusaini mikataba ya mikopo ya serikali.
Dotto James alikuwa wapi.
Wapumbazeni wa majalalani na syo watanzania wenye akili zao
Sent using Jamii Forums mobile app
Nani hua anatoa vibali vya kusafiri nje ya nchi?
Nani mwenye mamlaka ya kusaini mikataba ya mikopo ya serikali.
Dotto James alikuwa wapi.
Wapumbazeni wa majalalani na syo watanzania wenye akili zao
MNYONGE MNYONGENI LAKINI HAKI YAKE MPENI!
Mara alipoanza kazi kama kamishna jenerali wa jeshi la zimamoto, AFANDE ANDENGENYE, alianza rasmi kufanya kazi kisayansi na kutafiti kihusu uwezo wa jeshi letu la zimamoto kufika maeneo mbalimbali ya miji yetu na kufanya kazi ya uokoaji.
Utafiti huo ulionyesha madhaifu yaliyopo ya miundombinu mibovu na ujenzi holela unaochelewesha na hata kuzuia bidii za uokoaji za jeshi letu la zimamoto na, ninafikiri, vifaa vilivyopendekezwa kununuliwa kwa ajili ya jeshi letu la zimamoto ndivyo vimeghalimu utendaji uliotukuka wa AFANDE ANDENGENYE!
Huu ni uonevu, na, ninavyoona mimi, wa kuwajibishwa hapa ni waziri husika, Lugola, ambaye ni muwakilishi wa wizara bungeni na ndiye aliyepaswa kushughulika na taratibu na kanuni za bunge!
Naomba rais apitie tena uamuzi wake, japo mkuu yupo sahihi mara zote!
Sent using Jamii Forums mobile app