Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
utoto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
utoto
weachatu, kuna kazi zingine hata umbwa anaweza kuku kojoleaKwahiyo yule meja generali kajiuzulu halafu baba kampa mamlaka mengine. [emoji23]Kuna kazi ukifanya hata serikali inakuogopa. #FearOfcoup de..
5/5
Walitaka...Kwani walinunua makorokoro gani?
Nami natambua Andengenye ni muadirifu, ameonewa tu, huyu rais huwa anakurupuka, na inawezekana aliona wanataka kumzunguka, hivi, ule Mradi wa ujenzi wa Uwanja wa ndege wa Chato, Bunge lilitoa Idhini ?Andengenye ni mwadilifu Sana na makini mwerevu mcheshi mpole na mwenye utu na adabu sijui kwanini Hana bahati anyway naamini Mungu atamuinua siku moja wekeni kumbukumbu hii comment yangu.
Huwezi jua, labda yule ndo katoa taarifa zote, Magu amepandikiza watu kila konaKwahiyo yule meja generali kajiuzulu halafu baba kampa mamlaka mengine. [emoji23]Kuna kazi ukifanya hata serikali inakuogopa. #FearOfcoup de..
5/5
Swali fikirishi mbona vitu vingi vimeamulia awamu hii ya 5 bila baraka za bunge letu tukufu. hivi mtoto wa nyoka siyo nyoka tena?MNYONGE MNYONGENI LAKINI HAKI YAKE MPENI!
Mara alipoanza kazi kama kamishna jenerali wa jeshi la zimamoto, AFANDE ANDENGENYE, alianza rasmi kufanya kazi kisayansi na kutafiti kihusu uwezo wa jeshi letu la zimamoto kufika maeneo mbalimbali ya miji yetu na kufanya kazi ya uokoaji.
Utafiti huo ulionyesha madhaifu yaliyopo ya miundombinu mibovu na ujenzi holela unaochelewesha na hata kuzuia bidii za uokoaji za jeshi letu la zimamoto na, ninafikiri, vifaa vilivyopendekezwa kununuliwa kwa ajili ya jeshi letu la zimamoto ndivyo vimeghalimu utendaji uliotukuka wa AFANDE ANDENGENYE!
Huu ni uonevu, na, ninavyoona mimi, wa kuwajibishwa hapa ni waziri husika, Lugola, ambaye ni muwakilishi wa wizara bungeni na ndiye aliyepaswa kushughulika na taratibu na kanuni za bunge!
Naomba rais apitie tena uamuzi wake, japo mkuu yupo sahihi mara zote!
Ilitakiwa mchakato mzima ufuate sheria, taratibu na kanuni (STK) ili kupata uhalali wa manunuzi lakini kama maelezo ya Rais ni kuwa ulifanyaika kiovyoHakuna bunge siku hizi. Hili la Lugula lazima iundwe tume maalum ilete ukweli hewani.
Haya mambo jiwe anayatumia kufanya ufisadi wa kutisha.
Jiwe athibitiwe haraka kabla hajaleta maafa ya karne kwa taifa hili changa.
Kwanini watu 'potential'potential' wanazidi kupukutishwa na awamu ya tano? Yaani kila mbunifu ambae baadaye angefanya 'wonders' kama waziri au ...... ANAUNDIWA ZENGWE!Nami natambua Andengenye ni muadirifu, ameonewa tu, huyu rais huwa anakurupuka, na inawezekana aliona wanataka kumzunguka, hivi, ule Mradi wa ujenzi wa Uwanja wa ndege wa Chato, Bunge lilitoa Idhini ?
You were somehow right! 😅Andengenye ni mwadilifu Sana na makini mwerevu mcheshi mpole na mwenye utu na adabu sijui kwanini Hana bahati anyway naamini Mungu atamuinua siku moja wekeni kumbukumbu hii comment yangu.
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Ndo kakutuma?