Mapinduzi aliyoandaa Afande Andengenye!

Hakuna cha andengenye wala kangi alotakiwa awajibishwe bali alowapa ruksa ya kwenda romania ndo alitakiwa awajibike.
Nani hua anatoa vibali vya kusafiri nje ya nchi?
Nani mwenye mamlaka ya kusaini mikataba ya mikopo ya serikali.
Dotto James alikuwa wapi.
Wapumbazeni wa majalalani na syo watanzania wenye akili zao
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uongo hupanda lift bali ukweli hukwea ngazi.. Itajulikana tuu..
Jr[emoji769]
 
Hivi yale matanki ya gesi yalivoshika moto πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯,nini kingefuatia. Nilifikiri angewasifu hawa jamaa wa fire kwa jitihada kubwa walizofanya, maana yangekuwa maafa ya karne (harufu ya mishikaki kote). Kila kiumbe kitachopoteza maisha,utaambiwa ajali ya moto, hakuna cha kuchaguana mwaka huu,tungebaki kuomboleza.
 
Andengenye ni mwadilifu Sana na makini mwerevu mcheshi mpole na mwenye utu na adabu sijui kwanini Hana bahati anyway naamini Mungu atamuinua siku moja wekeni kumbukumbu hii comment yangu.
Haya ni mawazo yako.Siku zote upandacho ndicho utakachovuna.Kule Arusha alipokuwa mpaka leo hawajasahau alichokifanya alipokuwa Rpc.Akidai kuwa anazuia nguvu ya Chadema.Akasababisha damu za Watanzania kumwagika Pale stendi na pale Kiwanja cha Soweto na maeneo mengine mengi Arusha.

Nakumbuka mara nyingi mikutano ya Mbunge Lema alikuwa haachi kumtaja na kumwonya juu ya vitendo vya kutumia jeshi la polisi kupiga na kunyanyasa raia.Hakusikia mpaka alipohamishwa.

Nasema hivi hicho alichopokea ni kidogo.Asubiri machungu zaidi kwa sababu yatima aliowazalisha Andengenye bado wanalia usiku na mchana.

Ili aishi kwa amani namshauri kutubu na kuwaomba Watanzania wa Arusha msamaha wa dhati ndipo laana hii itamwacha huru.
 
Kwa jinsi Arusha ilivyokuwa ya moto, enzi za CHADEMA ya Dr Slaa, RPC mbovu angesababisha GENOCIDE au/na VITA VYA KIDINI!
 
Hongera na pole kwake.. Alipambana sana kuwa IGP, angalau ndoto zake zimetimia kwa kiwango kikubwa!
 
Haya ndio matatizo ya kuishia darasa la saba hata veta hukwenda. Hebu kasome kwanza uweze ku reason vizuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
MPELEKE BUNGENI WEWE KAMA UNAHISI N RAHISI HIVYO KHA
AMESAINI UNATETEA UJINGA UNGEKUWA R...WASHAKUHIFADHI SEHEMU

UNAONΓ€ MASAUNI NA WENZIE AWAJAGUSA HIZO KARATASI WAMEONDOKA KWA KYJIUZULU KWA HESHIMA NDIO MAANA UMESIKIA KINGU MEJA GEN N BALOZI NOW

UNAFIKIRI WALIKUWA MAFALA...
 
U
Simtetei Andagenye wala Mr Kingu lakini nawasikitikia kuingizwa mkenge na lmtu Baki aliyetoka huko porini
NAJUA HATA KWENYE VYEOO VYA JESHI HAO WAKOJUU KULIKO MH KANGI
NASHANGAAA WAMEINGIZWAJE CHAKA.NAAMINI HATA ELIMU WALIMZIDI

PESA SHETANI WA ROHO SIO SABUNI TENA
 
Nimesoma kila kitu lakini sielewi chochote. Mwenye kudadavua kunipa mwongozo. Huyu mtu alifanya nini, hiyo mikopo, magari, drones, etc...
 
Hayo magari yana tatizo gani? Au yamepitwa na wakati?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…