Mapinduzi aliyoandaa Afande Andengenye!

Kwahiyo yule meja generali kajiuzulu halafu baba kampa mamlaka mengine. [emoji23]Kuna kazi ukifanya hata serikali inakuogopa. #FearOfcoup de..

5/5
 
Kwahiyo yule meja generali kajiuzulu halafu baba kampa mamlaka mengine. [emoji23]Kuna kazi ukifanya hata serikali inakuogopa. #FearOfcoup de..

5/5
weachatu, kuna kazi zingine hata umbwa anaweza kuku kojolea
 
Andengenye ni mwadilifu Sana na makini mwerevu mcheshi mpole na mwenye utu na adabu sijui kwanini Hana bahati anyway naamini Mungu atamuinua siku moja wekeni kumbukumbu hii comment yangu.
Nami natambua Andengenye ni muadirifu, ameonewa tu, huyu rais huwa anakurupuka, na inawezekana aliona wanataka kumzunguka, hivi, ule Mradi wa ujenzi wa Uwanja wa ndege wa Chato, Bunge lilitoa Idhini ?
 
Kwahiyo yule meja generali kajiuzulu halafu baba kampa mamlaka mengine. [emoji23]Kuna kazi ukifanya hata serikali inakuogopa. #FearOfcoup de..

5/5
Huwezi jua, labda yule ndo katoa taarifa zote, Magu amepandikiza watu kila kona
 
Swali fikirishi mbona vitu vingi vimeamulia awamu hii ya 5 bila baraka za bunge letu tukufu. hivi mtoto wa nyoka siyo nyoka tena?
 
Hakuna bunge siku hizi. Hili la Lugula lazima iundwe tume maalum ilete ukweli hewani.

Haya mambo jiwe anayatumia kufanya ufisadi wa kutisha.

Jiwe athibitiwe haraka kabla hajaleta maafa ya karne kwa taifa hili changa.
Ilitakiwa mchakato mzima ufuate sheria, taratibu na kanuni (STK) ili kupata uhalali wa manunuzi lakini kama maelezo ya Rais ni kuwa ulifanyaika kiovyo
 
Nami natambua Andengenye ni muadirifu, ameonewa tu, huyu rais huwa anakurupuka, na inawezekana aliona wanataka kumzunguka, hivi, ule Mradi wa ujenzi wa Uwanja wa ndege wa Chato, Bunge lilitoa Idhini ?
Kwanini watu 'potential'potential' wanazidi kupukutishwa na awamu ya tano? Yaani kila mbunifu ambae baadaye angefanya 'wonders' kama waziri au ...... ANAUNDIWA ZENGWE!
WHAT IS REALLY COOKING? ☣☣☣☣!
 
Andengenye ni mwadilifu Sana na makini mwerevu mcheshi mpole na mwenye utu na adabu sijui kwanini Hana bahati anyway naamini Mungu atamuinua siku moja wekeni kumbukumbu hii comment yangu.
You were somehow right! 😅
... lakini huo mkoa aliopangiwa ni mtihani kipindi hiki cha uchaguzi ... ni mmoja wa mikoa UPINZANI ulipoota mizizi, ... kwa hiyo ni KIVUMBI NA JASHO!
😅
👊 ✌️✌️✌️💥
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…