Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
Yani ile sio offside ata nn pale wamebebwaAzam wanabebwa mpaka kero yaani....Aibu sana hii
Yanga 3 - Mafunzo 0Karibuni wanamichezo tujuzane kinachojiri katika Kombe la Mapinduzi.
Michuano imeanza leo 3/1/2016 mpaka 13/1/2016.
Yaani ni ubebaji wa dhahiri...Kila mtu anashangaa...Azam wanabebwa kila kona...Kwenye VPL wanawekewa viporo...Huku Mapinduzi cup wanatengenezewa magoli na wanakataa magoliYan pale jamaa kawabeba!!bora angesema faulo kwa kumuingilia kipa na sio offside!!
Yanga 3 - Mafunzo 0
Ngoma 31,34
Nonga 88
Mpira wetu una safari ndefu sana...Azam wanabebwa mpaka kero yaani....Aibu sana hii
..hii thread vipi,mbona hakuna full time score?!
naona wote mnalia lia tuu..
..mgongoni/kichwani?!FT Scores:
Yanga 3-0 Mafunzo
Azam 1-1* Mtibwa
*Azam kabebwa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
..mgongoni/kichwani?!
(*) hutumika kuonesha mechi bado inaendelea,ukishasema full time scores usiiweke.