Mapinduzi Cup 2015, Special thread..

Mapinduzi Cup 2015, Special thread..

Camilo Cienfuegos

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2015
Posts
18,960
Reaction score
67,654
Karibuni wanamichezo tujuzane kinachojiri katika Kombe la Mapinduzi.

Michuano imeanza leo 3/1/2016 mpaka 13/1/2016.

Mechi zinaonyeshwa Live kupitia Azam Two na ZBC two
=============================================================
Matokeo Mpaka Sasa.
3/1/2016
Yanga 3-0 Mafunzo
Mtibwa 1-1 Azam

4/1/2016
URA 2-1 JKU
Simba 2-2 Jamhuri

5/1/2016
Mtibwa 1-0 Mafunzo
Yanga 1-1 Azam

6/1/2016
JKU 3-0 Jamhuri
Simba 1-0 URA

7/1/2016
Azam 1-2 Mafunzo
Yanga Vs Mtibwa

8/1/2016
JKU Vs Jamhuri
Simba Vs JKU
 
Last edited:
Yan pale jamaa kawabeba!!bora angesema faulo kwa kumuingilia kipa na sio offside!!
 
Yan pale jamaa kawabeba!!bora angesema faulo kwa kumuingilia kipa na sio offside!!
Yaani ni ubebaji wa dhahiri...Kila mtu anashangaa...Azam wanabebwa kila kona...Kwenye VPL wanawekewa viporo...Huku Mapinduzi cup wanatengenezewa magoli na wanakataa magoli
 
..hii thread vipi,mbona hakuna full time score?!
naona wote mnalia lia tuu..
 
..hii thread vipi,mbona hakuna full time score?!
naona wote mnalia lia tuu..

FT Scores:
Yanga 3-0 Mafunzo
Azam 1-1* Mtibwa

*Azam kabebwa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
aibuuu....timu ya tajiri aka mfadhili wa TFF...
 
FT Scores:
Yanga 3-0 Mafunzo
Azam 1-1* Mtibwa

*Azam kabebwa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
..mgongoni/kichwani?!
(*) hutumika kuonesha mechi bado inaendelea,ukishasema full time scores usiiweke.
 
Jamani, hivi zile timu kongwe za Zenji bado zipo?
Wapi SMALL SIMBA, MALINDI, MLANDEGE? Mlandege ya Lunyamila ilisumbua sana kwa kibeba mastaa.
 
..mgongoni/kichwani?!
(*) hutumika kuonesha mechi bado inaendelea,ukishasema full time scores usiiweke.

Acha kukariri, unaweza kufeli mtihani vibaya sana. Alama yoyote yaweza kuwekwa cha msingi kuwe na 'ufunguo' wenye maana ya hiyo alama. Rejea kwenye post yangu uone kama sikuweka ufunguo! Poor Great Sinker!
 
JKU 0-1 URA Oscar Agaba 12'
 
Last edited:
JKU 1-1 URA

Oscar Agaba 12' URA
Mohammed Abdallah 18' JKU
 
Last edited:
Back
Top Bottom