Mapinduzi Cup 2015, Special thread..

Group A

Team Pts Gd Mtch
1. Yanga 4 3+ 2
2. Mtibwa 4 1+ 2
3. Mafunzo 3 -3 3
4. Azam 2 -1 3

Kwa maana hii Azam nje
 
Mutaenda kulaumiana Dar ondokeni kwanza
 
Yanga mnatabu sana, leo shindeni ili mtukimbie nusu fainali tusiwanyooshe
Unaota ndoto za mchana wewe, tunapiga mtibwa leo then tunangoja halali yetu kati yenu mikia na Ura.
 
Wewe dogo unaonekana umeingia kwa pupa sana hapa jukwaani, kuna wenzako waliingia na moto zaidi yako wakapotea katika anga za JF. Punguza mwendo mapambano bado yanaendelea.

CC. sembo - Kwa taarifa.

Mkuu usione kimya.. tupo tunatafakari kwa umakini mwenendo wa timu yetu pendwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…