Dupe
JF-Expert Member
- Jan 21, 2013
- 1,668
- 811
Wamebebwa kwa lip?Mafunzo wamebebwa leo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamebebwa kwa lip?Mafunzo wamebebwa leo
Labda kwa kugombania nafasi ya kwanza huenda.Mechi ya baadae haina mvuto tena
Msianze kumbebsha mzigo Ivo.....Makosa ni ya mabeki Serge Wawa na Abdallah KheriAzam 1-2 Mafunzo
Ivo Mapunda Kafungisha leo.
ila nae ana makosa yake mkuuMsianze kumbebsha mzigo Ivo.....Makosa ni ya mabeki Serge Wawa na Abdallah Kheri
Umeona eeh Azam ni mbovu yote muunganiko wa timu bado ni tatizo .Msianze kumbebsha mzigo Ivo.....Makosa ni ya mabeki Serge Wawa na Abdallah Kheri
Mutaenda kulaumiana Dar ondokeni kwanza
Usitegemee kupona… lazima tukumalize mkuuYanga mnatabu sana, leo shindeni ili mtukimbie nusu fainali tusiwanyooshe
Asavali tu sasa maana hakuna namna.Msianze kumbebsha mzigo Ivo.....Makosa ni ya mabeki Serge Wawa na Abdallah Kheri
Unaota ndoto za mchana wewe, tunapiga mtibwa leo then tunangoja halali yetu kati yenu mikia na Ura.Yanga mnatabu sana, leo shindeni ili mtukimbie nusu fainali tusiwanyooshe
Wewe dogo unaonekana umeingia kwa pupa sana hapa jukwaani, kuna wenzako waliingia na moto zaidi yako wakapotea katika anga za JF. Punguza mwendo mapambano bado yanaendelea.
CC. sembo - Kwa taarifa.
Hilo ni group BGroup A
Team Pts Gd Mtch
1. Yanga 4 3+ 2
2. Mtibwa 4 1+ 2
3. Mafunzo 3 -3 3
4. Azam 2 -1 3
Kwa maana hii Azam nje