Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Teh teh teh,Mkuu Makoye nini kimemkuta Mwanambumbu Sembo?Wewe dogo unaonekana umeingia kwa pupa sana hapa jukwaani, kuna wenzako waliingia na moto zaidi yako wakapotea katika anga za JF. Punguza mwendo mapambano bado yanaendelea.
CC. sembo - Kwa taarifa.
Teh teh teh,Mkuu Makoye nini kimemkuta Mwanambumbu Sembo?
Teh teh teh,wapi kizazi cha dhahabu cha wana Mbumbumbu fc.......Mkuu usione kimya.. tupo tunatafakari kwa umakini mwenendo wa timu yetu pendwa.
kwisha habari yako wewe,siku hizi hatuoni tena zile Makala zako za kimbumbumbu ukiwafurahisha wana Mbumbumbu wenzako.We Kandambili tulia.. Mnyama nipo.
Kama wanafungama kwa kila kitu na Mbumbumbu fc unategemea nini,hivi Azam ni wa kusajili kapi kama Ivo Mapunda?Azam wanajiingiza chaka wenyewe, wameacha misingi yao wamekuwa wa fasta fasta. Ndo maana wanapakatwa kama baba yao.
kipute kinaanza saa ngapi...kwa saa za Kenya!Young Africans SC vs Mtibwa Sugar .
1.Deogratius Munishi
2. Juma Abdul
3. Mwinyi Hadji
4. Vicente Bossou
5. Kelvin Yondani
6. Mbuyu Twite
7. Simoni Msuva
8. Thabani Kamusoko
9. Amisi Tambwe
10. Donald Ngoma
11. Issoufou Boubacar
Subs:
1. Ali Mustafa.
2. Oscar Joshua
3. Pato Ngonyani
4. Deusi Kaseke
5. Paul Nonga
6. Malimi Busungu
7. Salumu Telela
8. Antony Mateo
9. Geofrey Mwashuiya
Head Coach: Hans Van Pluijm
Assistant : Mwambusi.
Manager : Hafidhi Saleh.
Kinaanza saa 20:15 Usiku kwa saa za Afrika Mashariki, hivo unaweza kujua hiyo kenya ipo wapi.kipute kinaanza saa ngapi...kwa saa za Kenya!
Tutakutana mbele kwa mbeleYanga mnatabu sana, leo shindeni ili mtukimbie nusu fainali tusiwanyooshe
Katika waliopotea wewe si mmoja wao Mkuu, nilikupa cc. ili umkanye huyo dogo, alijisajili JF kuelekea Uchaguzi Mkuu 2015, baada ya kushindwa huko kahamia kwenye michezo hivyo ni sharti awe na adabu. #Hapakazitu.Mkuu usione kimya.. tupo tunatafakari kwa umakini mwenendo wa timu yetu pendwa.
Kuwa na majibu ya adabu nitakutandika makofi....Kinaanza saa 20:15 Usiku kwa saa za Afrika Mashariki, hivo unaweza kujua hiyo kenya ipo wapi.
Yanga na Mtibwa ndo nazipa nafasi kubwa kwenye michuano hii.