Mapinduzi Cup 2015, Special thread..

Mapinduzi Cup 2015, Special thread..

Wewe dogo unaonekana umeingia kwa pupa sana hapa jukwaani, kuna wenzako waliingia na moto zaidi yako wakapotea katika anga za JF. Punguza mwendo mapambano bado yanaendelea.

CC. sembo - Kwa taarifa.
Teh teh teh,Mkuu Makoye nini kimemkuta Mwanambumbu Sembo?
 
Azam wanajiingiza chaka wenyewe, wameacha misingi yao wamekuwa wa fasta fasta. Ndo maana wanapakatwa kama baba yao.
 
Azam wanajiingiza chaka wenyewe, wameacha misingi yao wamekuwa wa fasta fasta. Ndo maana wanapakatwa kama baba yao.
Kama wanafungama kwa kila kitu na Mbumbumbu fc unategemea nini,hivi Azam ni wa kusajili kapi kama Ivo Mapunda?
 
Young Africans SC vs Mtibwa Sugar .
1.Deogratius Munishi
2. Juma Abdul
3. Mwinyi Hadji
4. Vicente Bossou
5. Kelvin Yondani
6. Mbuyu Twite
7. Simoni Msuva
8. Thabani Kamusoko
9. Amisi Tambwe
10. Donald Ngoma
11. Issoufou Boubacar
Subs:
1. Ali Mustafa.
2. Oscar Joshua
3. Pato Ngonyani
4. Deusi Kaseke
5. Paul Nonga
6. Malimi Busungu
7. Salumu Telela
8. Antony Mateo
9. Geofrey Mwashuiya
Head Coach: Hans Van Pluijm
Assistant : Mwambusi.
Manager : Hafidhi Saleh.
 
Young Africans SC vs Mtibwa Sugar .
1.Deogratius Munishi
2. Juma Abdul
3. Mwinyi Hadji
4. Vicente Bossou
5. Kelvin Yondani
6. Mbuyu Twite
7. Simoni Msuva
8. Thabani Kamusoko
9. Amisi Tambwe
10. Donald Ngoma
11. Issoufou Boubacar
Subs:
1. Ali Mustafa.
2. Oscar Joshua
3. Pato Ngonyani
4. Deusi Kaseke
5. Paul Nonga
6. Malimi Busungu
7. Salumu Telela
8. Antony Mateo
9. Geofrey Mwashuiya
Head Coach: Hans Van Pluijm
Assistant : Mwambusi.
Manager : Hafidhi Saleh.
kipute kinaanza saa ngapi...kwa saa za Kenya!
 
Sioni kabisa namna Mtbwa watakavyokwepa kukatwa katwa leo kwa kipigo kitakatifu, nawaonea huruma sana Mtibwa
 
Kwa muziki huu hao Mitibwa aka wana miwa lazima wakae mapemaa.
 
Mkuu usione kimya.. tupo tunatafakari kwa umakini mwenendo wa timu yetu pendwa.
Katika waliopotea wewe si mmoja wao Mkuu, nilikupa cc. ili umkanye huyo dogo, alijisajili JF kuelekea Uchaguzi Mkuu 2015, baada ya kushindwa huko kahamia kwenye michezo hivyo ni sharti awe na adabu. #Hapakazitu.
 
DAIMA MBELE NYUMA MWIKO, KAZI NI MOJA TU KUTOA KICHAPO KWA KILA ANAETOKEA MBELE
 
Back
Top Bottom