Mapinduzi Cup 2015, Special thread..


Hamtoki salama leo, Mexime kocha bhana.
 
Mtibwa 1 wakat yanga 0 mpaka sasa, mtibwa oyee.
 
..eti; ile style yenu ya kushangilia siku hizi mnajipanua huko nyuma mmeipata wapi? nikiwaitia nyosso nitakuwa na kosa?!
wanashangilia vizuri sana si unaona hata maneno yao... Mtibwa ashafanya yake now Mtibwa 1 Yanga 0
 
Kandambili wamesawazisha dak ya 42
Refa kawabeba, yaani ndala sijui wakoje, hawawezi kabisa kucheza bila kubebwa!
Nasikia WAMESHANUNUA mechi ijayo endapo watapita, alafu wanakula dili wasikutane na The Beast!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…