Mapinduzi Cup 2015, Special thread..

Timu haina morale

Hivi unaweza kuamini samba haina hela ya kulipia beach kwa ajili ya mazoezi...Inabidi kocha aombe ombe waruhusiwe kuingia...Kwamba Kocha atalipa out of his own pocket

Hivi unajua kuwa samba wachezaji wakiwa kambini wanalala wawili kitanda kimoja

Hivi unajua kuwa Walishawahi kufika airport na hakuna gari lilikuja kuwapokea ikabidi wakodi daladala ya gongolamboto

Hivi unajua kuwa wameenda kulala hoteli ya bei chee umeme umekatika na genereta hakuna...ikabidi waogelee kwenye Joto usiku kucha

Unajua kuwa Mchezaji wa simba hatimiziwi ahadi zake za kimkataba...akiongea anapigwa benchi

Msimlaumu Kocha ...Tatizo la Simba ni Uongozi mbovu

Kiufupi ni Mfumo wa Uendeshaji
 
Yani kocha ndo "scapegoat "kwa soka la kibongo bongo na wakifanya hvyo watamuonea sana yani..!
Nashukuru sana Simba yangu kutolewa,laiti kama tungekutana na Yanga tungepata aibu ya kufungua mwaka

Kiukweli kabisa...Jamaa walikuwa na uwezo kabisa wa kushinda ila walikuwa hawataki...Morale iko chini
 
Yani kocha ndo "scapegoat "kwa soka la kibongo bongo na wakifanya hvyo watamuonea sana yani..!
Nashukuru sana Simba yangu kutolewa,laiti kama tungekutana na Yanga tungepata aibu ya kufungua mwaka
Msema kweli achaguliwa kuwa diwani, ni afadhali mmefungwa mapema na Mtibwa manake kwa kile kiwango chenu tungewapiga hata mkono safar hii
 
Kiufupi walikuwa hawataki kucheza

Lakini tusiwalaumu wachezaji wala kocha

Wanaishi maisha magumu sana....

Hii sio simba ambayo tulikuwa proud hata kukutana na TP Mazembe na tukawachapa
 
Msema kweli achaguliwa kuwa diwani, ni afadhali mmefungwa mapema na Mtibwa manake kwa kile kiwango chenu tungewapiga hata mkono safar hii

Hio haitakaa itokee hadi mwisho wa dunia Yanga kuifunga simba mkono

Mechi za simba na yanga hua ni zaidi ya mchezo wa uwanjani

Na uwanjani huwa hakuna kandanda...So usishangae Simba yetu hii mbovu mngechezea hata 3
 
Msema kweli achaguliwa kuwa diwani, ni afadhali mmefungwa mapema na Mtibwa manake kwa kile kiwango chenu tungewapiga hata mkono safar hii
Ah! Mkuu hawa huwa wakikutanaga na sisi huwa Simba halisi, huwa si Nguchiro tena.
Hata wawe nyanya vp, lakini wakikutana na Yanga hurudi kwenye ubora wao kwa siku moja.
Baada ya hapo hurudi kuwa Nguchiro tena.
 
Hio haitakaa itokee hadi mwisho wa dunia Yanga kuifunga simba mkono

Mechi za simba na yanga hua ni zaidi ya mchezo wa uwanjani

Na uwanjani huwa hakuna kandanda...So usishangae Simba yetu hii mbovu mngechezea hata 3
Acha kujitetea ujinga wewe,muungwana huukubali ukweli na sio 'Ingekuwa,ingekuwa'.
 
URA chama langu piga hao yanga kesho asubuhi wawahi boti ya kwanza kurejea dsm kwenye bomoa bomoa
 
Alafu ajabu upumbavu wote huo, kocha ndiye ambaye ataangushiwa jumba bovu...

Ndio maana huwa tunaishia kupigwa 7-0 tukienda kupambana kimataifa..

Mpira wa kibongo usanii mwingi tu, Hao akina Kaburu na Hans Pope wauze hiyo timu kwa mtu mwenye pesa ya kuiendesha..
 
Hio haitakaa itokee hadi mwisho wa dunia Yanga kuifunga simba mkono

Mechi za simba na yanga hua ni zaidi ya mchezo wa uwanjani

Na uwanjani huwa hakuna kandanda...So usishangae Simba yetu hii mbovu mngechezea hata 3
Ni kweli ...pamoja na Yanga kuwa na kikosi bora mara nyingi ....huwa sijiamini kuwa tunaweza kushinda .

Pamoja na ubovu wao. Simba mara nyingi huibuka kidedea na hucheza kwa morali wa hali ya juu.

Nakubalii kamati ya ufundi simba wako vizuri sana kwa miaka ya karibuni .
 
Wameshakataa kumuuzia Mo Dewji

Ambaye angetoa 20 Billions Tshs..Kwa kununua 50% shares

Club ingekuwa a bit serious ila kwa sababu ya kupiga deal kwa kina hanspope wamekataa

Ilikuwa ni ishu nyepesi tu...In two weeks mnaibadili timu inakuwa kampuni...Ingiza sokoni 50% shares...50% zibaki kwa wanachama.

Wanaajiri consultant anafanya valuation ya timu....Shares zote zinakuwa assigned Price

Kama Price Ingekuwa zaidi ya 20 Billions that would have been tabled for discussion

Sasa watu wanakataa straight away...wakati it was an opportunity to transform our football
 
Na kwa ukweli...zikicheza simba na Yanga hua hatushuhudii kandanda safi

Hizi timu za kariakoo ni shida tu

Na AZAM ikiendelea kuji benchmark kwa kutumia timu za kariakoo haitafika sehemu yoyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…