Freeland
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 14,481
- 10,227
Timu haina morale
Hivi unaweza kuamini samba haina hela ya kulipia beach kwa ajili ya mazoezi...Inabidi kocha aombe ombe waruhusiwe kuingia...Kwamba Kocha atalipa out of his own pocket
Hivi unajua kuwa samba wachezaji wakiwa kambini wanalala wawili kitanda kimoja
Hivi unajua kuwa Walishawahi kufika airport na hakuna gari lilikuja kuwapokea ikabidi wakodi daladala ya gongolamboto
Hivi unajua kuwa wameenda kulala hoteli ya bei chee umeme umekatika na genereta hakuna...ikabidi waogelee kwenye Joto usiku kucha
Unajua kuwa Mchezaji wa simba hatimiziwi ahadi zake za kimkataba...akiongea anapigwa benchi
Msimlaumu Kocha ...Tatizo la Simba ni Uongozi mbovu
Kiufupi ni Mfumo wa Uendeshaji