WACHAWI TUNi kweli ...pamoja na Yanga kuwa na kikosi bora mara nyingi ....huwa sijiamini kuwa tunaweza kushinda .
Pamoja na ubovu wao. Simba mara nyingi huibuka kidedea na hucheza kwa morali wa hali ya juu.
Nakubalii kamati ya ufundi simba wako vizuri sana kwa miaka ya karibuni .
...wapi Sembo aje toa maelezo hapa..mpeni timu Mo hamtaki,wenyewe kuiendesha hamuwezi,sijui mnatutaka nini nyie watu!Timu haina morale
Hivi unaweza kuamini samba haina hela ya kulipia beach kwa ajili ya mazoezi...Inabidi kocha aombe ombe waruhusiwe kuingia...Kwamba Kocha atalipa out of his own pocket
Hivi unajua kuwa samba wachezaji wakiwa kambini wanalala wawili kitanda kimoja
Hivi unajua kuwa Walishawahi kufika airport na hakuna gari lilikuja kuwapokea ikabidi wakodi daladala ya gongolamboto
Hivi unajua kuwa wameenda kulala hoteli ya bei chee umeme umekatika na genereta hakuna...ikabidi waogelee kwenye Joto usiku kucha
Unajua kuwa Mchezaji wa simba hatimiziwi ahadi zake za kimkataba...akiongea anapigwa benchi
Msimlaumu Kocha ...Tatizo la Simba ni Uongozi mbovu
Kiufupi ni Mfumo wa Uendeshaji
Wanachokitaka ni kujinufaisha kupitia mgongo wa Simba...wapi Sembo aje toa maelezo hapa..mpeni timu Mo hamtaki,wenyewe kuiendesha hamuwezi,sijui mnatutaka nini nyie watu!
WACHAWI TU
...tatizo viongozi wanatumia ujinga wa wanachama,wengi wao wakiambiwa Simba inageuzwa kampuni wanapiga mikelele hawataki,wakati hata sasa hivi ukiwaambia ni kipi wanachopata kutoka Simba, wanaishia kutoa macho tu!Wameshakataa kumuuzia Mo Dewji
Ambaye angetoa 20 Billions Tshs..Kwa kununua 50% shares
Club ingekuwa a bit serious ila kwa sababu ya kupiga deal kwa kina hanspope wamekataa
Ilikuwa ni ishu nyepesi tu...In two weeks mnaibadili timu inakuwa kampuni...Ingiza sokoni 50% shares...50% zibaki kwa wanachama.
Wanaajiri consultant anafanya valuation ya timu....Shares zote zinakuwa assigned Price
Kama Price Ingekuwa zaidi ya 20 Billions that would have been tabled for discussion
Sasa watu wanakataa straight away...wakati it was an opportunity to transform our football
mechi inaanza saa ngapi?URA chama langu piga hao yanga kesho asubuhi wawahi boti ya kwanza kurejea dsm kwenye bomoa bomoa
...tatizo viongozi wanatumia ujinga wa wanachama,wengi wao wakiambiwa Simba inageuzwa kampuni wanapiga mikelele hawataki,wakati hata sasa hivi ukiwaambia ni kipi wanachopata kutoka Simba, wanaishia kutoa macho tu!
Hao jamaa wawili kwa ufupi wamefanikiwa kuibaka sana Simba,na bado wataendelea kuibaka kwa kipindi kirefu kijacho, sababu wengi wa wanachama ni ma 'mbumbumbu'
Ngoja wawafuate mshindi wa tatuYani kocha ndo "scapegoat "kwa soka la kibongo bongo na wakifanya hvyo watamuonea sana yani..!
Nashukuru sana Simba yangu kutolewa,laiti kama tungekutana na Yanga tungepata aibu ya kufungua mwaka
Hivi huyo Hans Pope anajiona ana nguvu kuliko wanachama wote wa Simba....Wameshakataa kumuuzia Mo Dewji
Ambaye angetoa 20 Billions Tshs..Kwa kununua 50% shares
Club ingekuwa a bit serious ila kwa sababu ya kupiga deal kwa kina hanspope wamekataa
Ilikuwa ni ishu nyepesi tu...In two weeks mnaibadili timu inakuwa kampuni...Ingiza sokoni 50% shares...50% zibaki kwa wanachama.
Wanaajiri consultant anafanya valuation ya timu....Shares zote zinakuwa assigned Price
Kama Price Ingekuwa zaidi ya 20 Billions that would have been tabled for discussion
Sasa watu wanakataa straight away...wakati it was an opportunity to transform our football
...niamini, this time hawa jamaa wanaelekea kuumbuka.Sioni ni lini hii trend ya matokeo mabaya itaisha,timu itaendelea kufanya vibaya tu,hata km watabadilisha kocha.Wachezaji hawana morali,wanadhulumiwa mishahara yao,hili ni janga!Wanachokitaka ni kujinufaisha kupitia mgongo wa Simba
Ma deal wanapiga hao kina Hanspope na Kaburu
Wanajifanya wamesajili mchezaji lets say kwa 40 Millions Tshs
Ilihali wamempa mchezaji 10 Millions Tshs
Then wanaandika wanaidai club Tshs 40 Mn...
Club ikikusanya hela wanajilipa...na kuidhulumu timu
Usishangae kwenda kwenye akaunti ya Club na ukakuta kuna Tshs 0/=
Hivi huyo Hans Pope anajiona ana nguvu kuliko wanachama wote wa Simba....
Wanachama waite Meeting wakae waliongelee hili swala.. Huwezi kuacha 20 Billion wakati wachezaji wanalala kwenye guest za elfu 10 alafu wanashare vitanda... Huyu kocha nimemwona ni mzuri hana shida yeyote.. Tatizo ni hao viongozi wa Simba..
Pia yule kocha wa viungo arudishwe. Timu haina stamina kabisa.Hivi huyo Hans Pope anajiona ana nguvu kuliko wanachama wote wa Simba....
Wanachama waite Meeting wakae waliongelee hili swala.. Huwezi kuacha 20 Billion wakati wachezaji wanalala kwenye guest za elfu 10 alafu wanashare vitanda... Huyu kocha nimemwona ni mzuri hana shida yeyote.. Tatizo ni hao viongozi wa Simba..
Mapema sana hiyo. Yanga ni balaaYangaaaaaaaa ahaaa Yangaaaaaaaa baba
sio hivo tu....Imagine Leo simba inakutana na TP Mazembe...niamini, this time hawa jamaa wanaelekea kuumbuka.Sioni ni lini hii trend ya matokeo mabaya itaisha,timu itaendelea kufanya vibaya tu,hata km watabadilisha kocha.Wachezaji hawana morali,wanadhulumiwa mishahara yao,hili ni janga!
Zile zama za kuendesha timu kijanja janja zimepita,zamani wachezaji walikua wanakimbilia simba/yanga,sasa hivi kuna azam,bado kuna udhamini wa kila aina,timu km mbeya city inakupewa mamilioni na binslum,hawa jamaa wataitoa hiyo timu wapende wasipende,niambie,mchezaji gani wa simba sshv utamuuza kwa bei ya Okwi? najua ndio wanasubiri dili km hilo, warudishe hela zao walizoikopesha klabu!
...naomba Mungu hiyo plan ifanikiwe,ninavyoona wengi wa wanachama Simba wameshakua brainwashed na hawa watu wawili,hawataki kusikia nini wala nani,chochote jamaa watakachotaka,wakienda kwenye mkutano mkuu watakipata.Nikikumbuka walivyomuondoa Wambura kipindi kile,ile issue ilitengenezwa vizuri,jamaa akaonekana adui namba moja,then walivyoenda kwenye ule mkutano jamaa wakawa wana-control misukule yao!Ni Kweli wanatumia Umbumbumbu wa wanachama wa simba......Ni ukweli kuwa uelewa sio mkubwa
Lakini we must do something
Ingawa the plan itself itachukua miaka mitano...
Tumeshaanza kuifanyia kazi