...niamini, this time hawa jamaa wanaelekea kuumbuka.Sioni ni lini hii trend ya matokeo mabaya itaisha,timu itaendelea kufanya vibaya tu,hata km watabadilisha kocha.Wachezaji hawana morali,wanadhulumiwa mishahara yao,hili ni janga!
Zile zama za kuendesha timu kijanja janja zimepita,zamani wachezaji walikua wanakimbilia simba/yanga,sasa hivi kuna azam,bado kuna udhamini wa kila aina,timu km mbeya city inakupewa mamilioni na binslum,hawa jamaa wataitoa hiyo timu wapende wasipende,niambie,mchezaji gani wa simba sshv utamuuza kwa bei ya Okwi? najua ndio wanasubiri dili km hilo, warudishe hela zao walizoikopesha klabu!