Mapinduzi Cup 2015, Special thread..

..amesha kamata mind za wanachama wengi,ndio maana anajiamini sana,tokea enzi za 'friends of simba' tuliwafanya hawa watu wakaonekana km wakombozi,nao baada ya kuona tunawatukuza,ndio wanatutafuna vizuri sasa.
 
Naona ule utabir fainal ni mtibwa na yanga unaelekea kutimia
 
Yanga ipigwe kwenye matuta ili ikutane na simba mshindi wa 3 hapo mashindano yatakuwa yamenoga!
 
Yanga ipigwe kwenye matuta ili ikutane na simba mshindi wa 3 hapo mashindano yatakuwa yamenoga!
Mashindano ya Kombe la Mapinduzi hayana Mshindi wa tatu...Ni wa kwanza na wa pili tu
 
Mashindano ya Kombe la Mapinduzi hayana Mshindi wa tatu...Ni wa kwanza na wa pili tu
Kama yanga itatolewa kwenye matuta inabidi mshindi wa 3 atafutwe tuu ili kunogesha mashindano!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…