Mapinduzi Cup 2015, Special thread..

Mapinduzi Cup 2015, Special thread..

Hivi huyo Hans Pope anajiona ana nguvu kuliko wanachama wote wa Simba....

Wanachama waite Meeting wakae waliongelee hili swala.. Huwezi kuacha 20 Billion wakati wachezaji wanalala kwenye guest za elfu 10 alafu wanashare vitanda... Huyu kocha nimemwona ni mzuri hana shida yeyote.. Tatizo ni hao viongozi wa Simba..
..amesha kamata mind za wanachama wengi,ndio maana anajiamini sana,tokea enzi za 'friends of simba' tuliwafanya hawa watu wakaonekana km wakombozi,nao baada ya kuona tunawatukuza,ndio wanatutafuna vizuri sasa.
 
Yanga ipigwe kwenye matuta ili ikutane na simba mshindi wa 3 hapo mashindano yatakuwa yamenoga!
 
Back
Top Bottom