Azam alie tu... Hata akibebwa tena hawezi pata ushindi mbele ya YangaRatiba inaendelea tena leo...Je Azam atapata ushindi wake wa kwanza leo?
Azam alie tu... Hata akibebwa tena hawezi pata ushindi mbele ya Yanga
Nina imani na Yanga mkuulakini mpira unadunda mkuu
Nina imani na Yanga mkuu
Matombo, MorogoroKwani mmiliki wa Azam kwao wapi?
Hawa Mafunzo walaini mnoDak 12 Mafunzo 0-1 Mtibwa Bahanuzi.
Hawa Mafunzo walaini mno
naskia ndio mabingwa hawa wa zenjiUrojo ndicho chakula chao nguvu watapata wapi.
nyny weny nguvu mnaokula kokoto c tungewaona basi mafanikio yenu katka soka angalau ukanda huu wa afrika mashariki na kati, badala yake ndo wa mwisho sku zote, jana wala urojo wamemlazimisha mla kokoto sare ya 2:2Urojo ndicho chakula chao nguvu watapata wapi.
duuh...nyny weny nguvu mnaokula kokoto c tungewaona basi mafanikio yenu katka soka angalau ukanda huu wa afrika mashariki na kati, badala yake ndo wa mwisho sku zote, jana wala urojo wamemlazimisha mla kokoto sare ya 2:2