Mapinduzi Cup 2015, Special thread..

Mapinduzi Cup 2015, Special thread..

Mechi za kesho

16:00. Mtibwa Sugar v/s Mafunzo
20:00. Yanga v/s Azam Fc
 
Ratiba inaendelea tena leo...Je Azam atapata ushindi wake wa kwanza leo?
 
Mafunzo wameshindwa kutumia cross mbili
 
Ni kweli Striking yao ni butu though wanaingia mpaka kwenye 18.
 
Urojo ndicho chakula chao nguvu watapata wapi.
nyny weny nguvu mnaokula kokoto c tungewaona basi mafanikio yenu katka soka angalau ukanda huu wa afrika mashariki na kati, badala yake ndo wa mwisho sku zote, jana wala urojo wamemlazimisha mla kokoto sare ya 2:2
 
duuh...
 
Dak 39: MFZ 0-1 MTB.

Mtibwa nao siyo wale wa juzi na Azam,wamepooza mno.
 
Back
Top Bottom