Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
soka la bongo kichefuchefu tupuMpira umekwisha. Zimeongezwa dk.5 refa kaongeza dk.7
Azam 1 Yanga 1.
Ila kwa mpira huu mmm! Tutaishia kucheza mpira kwenye kurasa za magazeti ya michezo tu.
Nani kabebwa Leo??Kwa style hii ya kubeba vitimu maarufu soka letu linazidi kufa.
Tutabaki kuwa wasindikizaji siku zoteMpira umekwisha. Zimeongezwa dk.5 refa kaongeza dk.7
Azam 1 Yanga 1.
Ila kwa mpira huu mmm! Tutaishia kucheza mpira kwenye kurasa za magazeti ya michezo tu.
Kunya anye kuku akinya bata kaharisha.Mkuu acha matusi japo yanga wamebebwa, ndo marefa wetu wa kibongo walivyo
...halafu ndio yanaongoza kwa midomo mirefu humu,leo kimyaaaa..!!kandambili siku zote ni wazee wa kubebwa
Wamekutana wote wa kubebwakandambili siku zote ni wazee wa kubebwa
kandambiliNani kabebwa Leo??
Tutafanyaje ndugu inabidi kupenda tu hivyo hivyo chetu japo kibayaMpira wa bongo uendawazimu mimi niliamua kuwaachia wenye kupenda ukichaa waendelee kushabikia.