Mapinduzi Cup 2015, Special thread..

Kwa style hii ya kubeba vitimu maarufu soka letu linazidi kufa.
 
Mpira umekwisha. Zimeongezwa dk.5 refa kaongeza dk.7

Azam 1 Yanga 1.

Ila kwa mpira huu mmm! Tutaishia kucheza mpira kwenye kurasa za magazeti ya michezo tu.
 
Mpira umekwisha. Zimeongezwa dk.5 refa kaongeza dk.7

Azam 1 Yanga 1.

Ila kwa mpira huu mmm! Tutaishia kucheza mpira kwenye kurasa za magazeti ya michezo tu.
soka la bongo kichefuchefu tupu
 
Mpira umekwisha. Zimeongezwa dk.5 refa kaongeza dk.7

Azam 1 Yanga 1.

Ila kwa mpira huu mmm! Tutaishia kucheza mpira kwenye kurasa za magazeti ya michezo tu.
Tutabaki kuwa wasindikizaji siku zote
 
...li refa limewaongezea kandambili dkk nyingine mbili,kandambili yameishia kugongesha mwamba tu.!
 
..yani Bocco katemewa mate na Yondani mbele ya li refa,lirefa linaangalia tu,halafu linampa Bocco yellow card.!!
very poor indeed.!!
 
Leo wakimataifa kabebwa. Kwenye ligi za vilabu vya Africa tutaishia kuwatoa Mauritius na Comoro, huko kwenye raundi ya pili na zaidi labda tuisubiri Simba mwaka itakaokuja kushiriki
 
Long way to go aisee kwa mpira huu na marefa hawa. Kazi ipo kubwa sana
 
dah yanga timu yangu lakini kwa hili hapana, this is not fair
 
Leo wazee wa kubebwa walikuwa wamekutana kwa hiyo akapatikana wa kubebwa zaidi. Halafu ndo wawakilishi wa nchi kwenye mashindano ya CAF.
 
Mpira wa bongo uendawazimu mimi niliamua kuwaachia wenye kupenda ukichaa waendelee kushabikia.
 
Mpira wa bongo uendawazimu mimi niliamua kuwaachia wenye kupenda ukichaa waendelee kushabikia.
Tutafanyaje ndugu inabidi kupenda tu hivyo hivyo chetu japo kibaya
 
Soka letu ili liendelee inabidi simba na yanga zivunjwe au zifungiwe kwa muda wa miaka 8 ili marefa wapoteze mawazo ya usimba na uyanga.
Natamani siku moja soka letu liwe kama la Uingereza, yani ifike mahala timu kama ndanda au majimaji ziongoze ligi au kubeba kabisa ubingwa.
Ila ndo hivyo tena, siku zote tutaishia kusikia simba na yanga au mara moja moja azam au mtibwa.
 
Mpira wetu unapiga hatua 8 nyuma. Mpira wa leo haukuwa na ufundi wowote zaidi ya ubabe wa kiswahili, yaani kama Abajalo na Friends Rangers
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…