Mapinduzi Cup 2015, Special thread..

Asante Ibrahim Ajibu.. Asante Mnyama.
 
..eti; ile style yenu ya kushangilia siku hizi mnajipanua huko nyuma mmeipata wapi? nikiwaitia nyosso nitakuwa na kosa?!
Wewe dogo unaonekana umeingia kwa pupa sana hapa jukwaani, kuna wenzako waliingia na moto zaidi yako wakapotea katika anga za JF. Punguza mwendo mapambano bado yanaendelea.

CC. sembo - Kwa taarifa.
 
Mpira wa Simba na URA...,ni sawa na Twiga staz na timu ya wanawake ya SOMALIA......
 
Wewe dogo unaonekana umeingia kwa pupa sana hapa jukwaani, kuna wenzako waliingia na moto zaidi yako wakapotea katika anga za JF. Punguza mwendo mapambano bado yanaendelea.

CC. sembo - Kwa taarifa.
watema mate mpoooo...mimba changa zinawasumbua...
 
...ngojea nione leo nani wa mtibwa ataloweshwa na mate,mimba changa bana,halafu bado hawakomi wakifunga wanaendelea kujipanua tu hovyo,mtatema tema mate timu nzima!
 
Wewe dogo unaonekana umeingia kwa pupa sana hapa jukwaani, kuna wenzako waliingia na moto zaidi yako wakapotea katika anga za JF. Punguza mwendo mapambano bado yanaendelea.

CC. sembo - Kwa taarifa.
...leo nawaombe mfungwe 3-1,halafu hilo moja lenu mkishangilia mfanye kale kamchezo kenu!
 
Kuna kituko hapa, wachezaji wa Mafunzo wanabadilishana Shin Guard (Vilinda ugoko) aliyefanyiwa SUB kampa yule anayeingia.
 
Azam kwisha habari yao .........mie waliniudhi kulindwa hata wakikosea. Hasa huyo WAWA mkuda sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…