Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe dogo unaonekana umeingia kwa pupa sana hapa jukwaani, kuna wenzako waliingia na moto zaidi yako wakapotea katika anga za JF. Punguza mwendo mapambano bado yanaendelea...eti; ile style yenu ya kushangilia siku hizi mnajipanua huko nyuma mmeipata wapi? nikiwaitia nyosso nitakuwa na kosa?!
duuh Yanga mna shidaMpira wa Simba na URA...,ni sawa na Twiga staz na timu ya wanawake ya SOMALIA......
watema mate mpoooo...mimba changa zinawasumbua...Wewe dogo unaonekana umeingia kwa pupa sana hapa jukwaani, kuna wenzako waliingia na moto zaidi yako wakapotea katika anga za JF. Punguza mwendo mapambano bado yanaendelea.
CC. sembo - Kwa taarifa.
...leo nawaombe mfungwe 3-1,halafu hilo moja lenu mkishangilia mfanye kale kamchezo kenu!Wewe dogo unaonekana umeingia kwa pupa sana hapa jukwaani, kuna wenzako waliingia na moto zaidi yako wakapotea katika anga za JF. Punguza mwendo mapambano bado yanaendelea.
CC. sembo - Kwa taarifa.
Mfungaji kwa azam
Meingine ni yupi?Wa Kubebwa mmoja BAIBAI