Mapinduzi Cup 2015, Special thread..

Mapinduzi Cup 2015, Special thread..

Young Africans SC vs Mtibwa Sugar .
1.Deogratius Munishi
2. Juma Abdul
3. Mwinyi Hadji
4. Vicente Bossou
5. Kelvin Yondani
6. Mbuyu Twite
7. Simoni Msuva
8. Thabani Kamusoko
9. Amisi Tambwe
10. Donald Ngoma
11. Issoufou Boubacar
Subs:
1. Ali Mustafa.
2. Oscar Joshua
3. Pato Ngonyani
4. Deusi Kaseke
5. Paul Nonga
6. Malimi Busungu
7. Salumu Telela
8. Antony Mateo
9. Geofrey Mwashuiya
Head Coach: Hans Van Pluijm
Assistant : Mwambusi.
Manager : Hafidhi Saleh.
Hii tumu mafala kweli wanaua viwango vya wachezaji wazalendo. Wamesajili wachezaji 30, kuna mapimbi 10 wao wapo bench mpaka ligi inaisha.
 
Hii tumu mafala kweli wanaua viwango vya wachezaji wazalendo. Wamesajili wachezaji 30, kuna mapimbi 10 wao wapo bench mpaka ligi inaisha.
Nyie mnaochezesha wachezaji wote mliowasajili mpo katika nafasi gani?
 
Sumba imetinga nusu fainali kwa kishindo bila kubebwa,inaenda kutana na mtibwa.ft Sumba 1 Jku 0
 
Hii tumu mafala kweli wanaua viwango vya wachezaji wazalendo. Wamesajili wachezaji 30, kuna mapimbi 10 wao wapo bench mpaka ligi inaisha.
yaani we hadi leo haujui kama timu moja inachezesha wachezaji 11.?
 
yaani we hadi leo haujui kama timu moja inachezesha wachezaji 11.?
Unapo challenge wenye akili unatakiwa utulize kichwa. Nachanganua:-

1. Yanga imesajili wachezaji 30
2. Line up ina wachezaji 11 kati ya hao 5 wa nyumbani. Mshambuliaji hakuna wa nyumbani ila kuna Msuva tu ambaye ni winga.
3. Katika orodha ya wachezaji wa akiba wapo 9, ukijumlisha na waliondani jumla ni ishirini.
4. Ndo nikasema kuna mapimbi 10 hao hawakai hata bench.

Hoja yangu, kwa kutokuwa na washambuliaji wa ndani ni ishara tosha tunaua timu ya Taifa.

Mdogo wangu, wanamichezo walielewa nini ninakisema.
 
Bora timu ya taifa ife kuliko kuua klabu. asa kama wachezaji wa ndani viwango duni na hawafundishiki, tena nidhamu F unategemea nini?
 
Nusu fainal ya kwanza ni lini na saa ngap?
Nusu fainali ya kwanza.kesho mkuu nafikiri itakuwa saa kumi na mechi ya pili saa mbili usiku alikadharika na kesho kutwa itaendelea
 
Half Time sasa

Simba 0-1 Mtibwa Sugar

Goli limefungwa na Ibrahim Jeba dk ya 45
 
Waje hapa mikia wamepotea yanga tulipowachapa hao sukar mliona wepesi
 
Back
Top Bottom