yahoo
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 3,526
- 1,409
Simba wamejitahidi sana. walau wameishia nusu fainali kwenye mechi iliyofanyika "nje ya nchi".
Warudi zao msimbazi wakasaidie kuuza juice za azam.
Ha ha ha simba wamepata ushindi nje ya nchi?!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simba wamejitahidi sana. walau wameishia nusu fainali kwenye mechi iliyofanyika "nje ya nchi".
Warudi zao msimbazi wakasaidie kuuza juice za azam.
Hakuna kufuta post wala comment kwa kua najua matokeo ya mpira ni either kufunga, kufungwa au kutoka sare. Nin cha ajabu kilichokushangaza sana mkuu wangu?
aise sijapakatwa ila nimezidiwa marifa kwa bahati mbaya na matokeo yakawa kama ulivyoyaonaPole kwa kupakatwa na Mtibwa
Ni kweli Mkuu....Nadeclare kuwa mshabiki haswa wa Simba ila kwa aina ya mchezo wetu hatuwezi fika popote asee.
Ukiangalia uwezo wa timu upo chini halafu timu haina morari kabisa,yani kama wamelazimishwa asee dah! Namshukuru sana mungu kutolewa kuepuka dhahma na maumivu ya kufungwa na Yanga!
Wanaruka ruka tu,bora angebaki jina angetisha,amekuwa swala kabisa asee!
Hili litimu linakera sana,michezaji haijitumi kabisa
Ni kweli Mkuu....
Kandambili mmefurahi sanaHahahahaha unaunga mkono hoja mia kwa mia
Yani kocha ndo "scapegoat "kwa soka la kibongo bongo na wakifanya hvyo watamuonea sana yani..!Subiri yule kocha wao lazima atashughulikiwa wakati timu haina morali. Hakika fainali ni Yanga v/s Mtibwa! Bonge la mechi la kisasi.
Mikia kwa sasa ni wa level ya Ndanda and the likes.Kandambili mmefurahi sana