Mapinduzi Cup 2015, Special thread..

Mapinduzi Cup 2015, Special thread..

Kama yanga itatolewa kwenye matuta inabidi mshindi wa 3 atafutwe tuu ili kunogesha mashindano!
Hayo ni matakwa yako...Lakini kwenye Kombe la Mapinduzi hakuna kitu kama hicho...

Yanga wamepoteza Penati moja tayari...Mwashiuya
 
Hahaaaaa. Yanga keshaumia, walichonga sanaa na wao wamedondokea pua hahaaaa!
 
Hahaaaaa burudan kweli kweliiiiiii
Ili kumaliza ubishi inabidi mshindi wa 3 apatikane
 
Ina wahenga walikuwa na akili za kufa mtu, tukianza na: Usitukane mamba kabla hujavuka mto; Usishone mbeleko kabla mtoto hajazaliwa; Usitukane wakunga na uzazi ungalipo.
 
Back
Top Bottom