Mapinduzi Cup 2025 kushirikisha timu za taifa sio vilabu tena, bingwa kuondoka na Tsh. Milioni 100

Mapinduzi Cup 2025 kushirikisha timu za taifa sio vilabu tena, bingwa kuondoka na Tsh. Milioni 100

Ni uvivu wa kufikiria tu ila hayo mashindano walitakiwa wacheze vijana wa under 20 unaenda kuwachezesha wachezaji wa yanga na simba ambao kila siku wanaonekana.
 
Ni vyema mashindano yanakosa maana kuna wahuni wanapeleka vikosi vya watoto bora wangerudisha ligi ya muungano tu!
Ndio inavyotakiwa yaani ukaumize mchezaji uliyemsajili kwa million 500 kwasababu ya million 100
 
Back
Top Bottom