Ubaya Ubwela JF-Expert Member Joined Jul 24, 2024 Posts 1,353 Reaction score 3,060 Dec 11, 2024 #21 Benny Haraba said: Maandalizi na usafiri wa hizo timu ni jukumu la nani? Click to expand... Kizimkazi
Benny Haraba said: Maandalizi na usafiri wa hizo timu ni jukumu la nani? Click to expand... Kizimkazi
Lord Delamere in Kenya JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 3,988 Reaction score 8,021 Dec 11, 2024 #22 valet de chambre said: Yaani Muda, Bacca na Shekhan washiriki MASHINDANO hayo.? Wamchukue fei toto na wengine. Click to expand... Wana maajabu gani hao waliokuwa wakigeuzwa kama chapati na Wachezaji wa Al Hilal na baadae MC Alger?
valet de chambre said: Yaani Muda, Bacca na Shekhan washiriki MASHINDANO hayo.? Wamchukue fei toto na wengine. Click to expand... Wana maajabu gani hao waliokuwa wakigeuzwa kama chapati na Wachezaji wa Al Hilal na baadae MC Alger?
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Dec 11, 2024 #23 SAYVILLE said: Au waandae mashindano ya visiwa. Hapo wataipata Comoros, Madagascar, Mauritius, Syshelles, Cuba kama wanacheza mpira na Cape Verde. Click to expand... Na Sri Lanka na Australia.
SAYVILLE said: Au waandae mashindano ya visiwa. Hapo wataipata Comoros, Madagascar, Mauritius, Syshelles, Cuba kama wanacheza mpira na Cape Verde. Click to expand... Na Sri Lanka na Australia.
X XaviMessIniesta JF-Expert Member Joined Dec 18, 2017 Posts 2,231 Reaction score 2,778 Dec 11, 2024 #24 Benny Haraba said: Maandalizi na usafiri wa hizo timu ni jukumu la nani? Click to expand... Timu itoke Burkina Faso kugombania milion100, garama za safari, posho za wachezaji, hotels, znazid mbali
Benny Haraba said: Maandalizi na usafiri wa hizo timu ni jukumu la nani? Click to expand... Timu itoke Burkina Faso kugombania milion100, garama za safari, posho za wachezaji, hotels, znazid mbali
B Benny Haraba JF-Expert Member Joined Dec 7, 2012 Posts 13,336 Reaction score 12,370 Dec 11, 2024 #25 XaviMessIniesta said: Timu itoke Burkina Faso kugombania milion100, garama za safari, posho za wachezaji, hotels, znazid mbali Click to expand... 1+1=3, similarly if there no one next to you how many times are going to be alone? View: https://youtu.be/8AK9VqF-Na0
XaviMessIniesta said: Timu itoke Burkina Faso kugombania milion100, garama za safari, posho za wachezaji, hotels, znazid mbali Click to expand... 1+1=3, similarly if there no one next to you how many times are going to be alone? View: https://youtu.be/8AK9VqF-Na0
pwilo JF-Expert Member Joined May 27, 2015 Posts 10,913 Reaction score 13,876 Dec 12, 2024 #26 Ni uvivu wa kufikiria tu ila hayo mashindano walitakiwa wacheze vijana wa under 20 unaenda kuwachezesha wachezaji wa yanga na simba ambao kila siku wanaonekana.
Ni uvivu wa kufikiria tu ila hayo mashindano walitakiwa wacheze vijana wa under 20 unaenda kuwachezesha wachezaji wa yanga na simba ambao kila siku wanaonekana.
pwilo JF-Expert Member Joined May 27, 2015 Posts 10,913 Reaction score 13,876 Dec 12, 2024 #27 kipara kipya said: Ni vyema mashindano yanakosa maana kuna wahuni wanapeleka vikosi vya watoto bora wangerudisha ligi ya muungano tu! Click to expand... Ndio inavyotakiwa yaani ukaumize mchezaji uliyemsajili kwa million 500 kwasababu ya million 100
kipara kipya said: Ni vyema mashindano yanakosa maana kuna wahuni wanapeleka vikosi vya watoto bora wangerudisha ligi ya muungano tu! Click to expand... Ndio inavyotakiwa yaani ukaumize mchezaji uliyemsajili kwa million 500 kwasababu ya million 100
Marco Polo JF-Expert Member Joined Jan 16, 2014 Posts 11,786 Reaction score 18,562 Dec 13, 2024 #28 Kwahiyo ligi zitasimama ama