Kolo Mimi sio Yanga Ila nafuatilia michezo ya makolo na nafurahi Sana mkifungwaWewe topolo acha upumbavu, mlifunga goli gani likakataliwa? Kocha wenu kasema mlienda kujaribu wachezaji wewe unakuja na utopolo wako hapa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kolo Mimi sio Yanga Ila nafuatilia michezo ya makolo na nafurahi Sana mkifungwaWewe topolo acha upumbavu, mlifunga goli gani likakataliwa? Kocha wenu kasema mlienda kujaribu wachezaji wewe unakuja na utopolo wako hapa.
Mapinduzi tukifuuúBaada ya APR kunyimwa goli lililoonekana ni halali likifungwa na mchezaji Shiboub aliyewahi kuchezea Simba Sports. Baada ya mechi kocha wa APR alilalamika kubebwa waziwazi kwa timu ya nyumbani Mlandege jambo ambalo si la kiuanamichezo na kwa kuzingatia heshima ya mashindano hayo yanayoshirikisha timu za ndani na nje ya nchi.
Kibaya zaidi hii clip uionayo hapa juu Azam wameiachia kwenye social medias baada ya kusikia malalamiko kwani kwenye live TV interview ilipofikia kocha kutoa lawama na kutishia kutoshiriki tena basi kwa haraka walikatiza interview ya kocha na kuweka tangazo ili tuhuma alizokuwa akitoa zisisikike.
Huku ni kuonyesha udhaifu wa soka na pia vyombo vyetu vya habari hasa kile cha tibisii, asam na wengine wanaoripoti.Imagine huko Rwanda mashabiki wanaoamini timu yao kupokwa ushindi bado tena wanaona kocha wako akizimiwa live interview watajisikiaje?
Yaani ung'olewe meno halafu upewe bisi za kutafuna?
Tanzania inawezekana tumekuza matangazo tu ya mipira na viwanja ila soka bado sana kutokana na kubebana. Hayo mafanikio tunayosema Simba na Yanga wamepata kimataifa yamechangiwa na wachezaji wa kulipwa wa kigeni na sio wazawa wanaobebwa na ndiyo maana upande wa Taifa Stars isiyo na professionals wa kigeni bado tunajikongoja.
Ingependeza kiungwana referee wa mechi ya jana apewe adhabu stahili na pia TFF kuiomba radhi club ya APR ya Rwanda na Rais Kagame ambaye pia tunategemea kumfungia yule refa kutokanyaga Rwanda.
Azam TV pia ambao licha ya kutangaza mechi hiyo ni wadhamini pia wa APR wanapaswa kuomba radhi kwa kukatiza interview live katika Televisheni ili malalamiko ya Kocha yasisikike.Azam wamekuwa maduwanzi, hata kurudia lile goli kwenye kila angle wamekataa na ukweli ni kwamba sasa hivi ili kombe ni kama bonanza la CCM ambalo mshndi ni timu ya Mbunge aliyeandaa Bonanza.
Tujitathmini na Tukuze Soka kiuhalisia sio kwa upendeleo wa home team jambo ambalo limeonekana kukua mizizi hata kwenye ligi ya bara hasa kwa timu kubwa na hata ziitwazo ndogo zikiwa viwanja vya nyumbani na kwa matokeo mengi tuliyoshuhudia katika mchezo wa Boxing kutoa ushindi fake kwa mabondia wa nyumbani.
Kisiasa tupore ushindi, kimichezo nako tupore ushindi tunaenda wapi? Kila kitu sisi ni rafu?
Tubadikike.
Warwanda ni kama Wazungu, wanapiga peupe, hakuna unafki,Zanzibar ama Wazanzibari wanapenda mbeleko sana.
Kila nyanja wanataka kubebwa/kupendelewa.
Wanyarwanda sio kama watanganyika waliojaa unafiki na uoga...wanyarwanda na Kagame wao kama ni nyeusi wanasema ni nyeusi na si vinginevyo.
Refa alielezwa akakaza shingo kutokana na maelekezo.Mbona ni makosa ya kawaida sana kwenye football. Naona watu wanatake personal kwa sababu timu iliyocheza ni ya Zanzibar. Mara ngapi ligi kuu huku waamuzi wanafanya makosa ya wazi ? Je kwenye ligi yao ya Rwanda, hakuna Refa amewahi fanya kosa? Vipi kule Ulaya kwenye VAR hakuna makosa?Guys hakuna Sheria ngumu kama offside kwa mshika kibendera.Kwa mzingira ya lile tukio hadi marudio ya TV ndio unaweza kuona vyema kwamba aliyepiga kichwa siye aliyekuwa offside....naona APR wame overreact...
Bila shaka wewe unatoka ukoo wa mbumbumbuHakuna haja ya kulalamika saana, ningekuona wa maana kama ungesisitiza matumizi ya Assistant Referee Video (ARV) next time kwenye mashindano haya, maana hata lefa ni mwanadamu mwenye macho mawili.
By the way mpira umechezwa dakika 90, kama APR walikuwa bora mbona hawakufunga jingine? pia kama walikuwa bora kwa nini hawakupiga penatI kwa ubora.
Ni kwamba washapigwa,ishaisha hiyo, na wanaolalamika hapa ni UTO na si APR.
Kama uliangalia fainali ya mwaka jana Singida walinyimwa kombe kwa makusudi haiwezi kua bahati mbaya kila mwakaMbona ni makosa ya kawaida sana kwenye football. Naona watu wanatake personal kwa sababu timu iliyocheza ni ya Zanzibar. Mara ngapi ligi kuu huku waamuzi wanafanya makosa ya wazi ? Je kwenye ligi yao ya Rwanda, hakuna Refa amewahi fanya kosa? Vipi kule Ulaya kwenye VAR hakuna makosa?Guys hakuna Sheria ngumu kama offside kwa mshika kibendera.Kwa mzingira ya lile tukio hadi marudio ya TV ndio unaweza kuona vyema kwamba aliyepiga kichwa siye aliyekuwa offside....naona APR wame overreact...
Kama kweli kulikuwa na mpango wa namna hiyo, sidhani kama Yanga ingetolewa mapema. Nani hajui kwamba Yanga au Simba zinapotolewa mapema mapato hupungua??Baada ya APR kunyimwa goli lililoonekana ni halali likifungwa na mchezaji Shiboub aliyewahi kuchezea Simba Sports. Baada ya mechi kocha wa APR alilalamika kubebwa waziwazi kwa timu ya nyumbani Mlandege jambo ambalo si la kiuanamichezo na kwa kuzingatia heshima ya mashindano hayo yanayoshirikisha timu za ndani na nje ya nchi.
Kibaya zaidi hii clip uionayo hapa juu Azam wameiachia kwenye social medias baada ya kusikia malalamiko kwani kwenye live TV interview ilipofikia kocha kutoa lawama na kutishia kutoshiriki tena basi kwa haraka walikatiza interview ya kocha na kuweka tangazo ili tuhuma alizokuwa akitoa zisisikike.
Huku ni kuonyesha udhaifu wa soka na pia vyombo vyetu vya habari hasa kile cha tibisii, asam na wengine wanaoripoti.Imagine huko Rwanda mashabiki wanaoamini timu yao kupokwa ushindi bado tena wanaona kocha wako akizimiwa live interview watajisikiaje?
Yaani ung'olewe meno halafu upewe bisi za kutafuna?
Tanzania inawezekana tumekuza matangazo tu ya mipira na viwanja ila soka bado sana kutokana na kubebana. Hayo mafanikio tunayosema Simba na Yanga wamepata kimataifa yamechangiwa na wachezaji wa kulipwa wa kigeni na sio wazawa wanaobebwa na ndiyo maana upande wa Taifa Stars isiyo na professionals wa kigeni bado tunajikongoja.
Ingependeza kiungwana referee wa mechi ya jana apewe adhabu stahili na pia TFF kuiomba radhi club ya APR ya Rwanda na Rais Kagame ambaye pia tunategemea kumfungia yule refa kutokanyaga Rwanda.
Azam TV pia ambao licha ya kutangaza mechi hiyo ni wadhamini pia wa APR wanapaswa kuomba radhi kwa kukatiza interview live katika Televisheni ili malalamiko ya Kocha yasisikike.Azam wamekuwa maduwanzi, hata kurudia lile goli kwenye kila angle wamekataa na ukweli ni kwamba sasa hivi ili kombe ni kama bonanza la CCM ambalo mshndi ni timu ya Mbunge aliyeandaa Bonanza.
Tujitathmini na Tukuze Soka kiuhalisia sio kwa upendeleo wa home team jambo ambalo limeonekana kukua mizizi hata kwenye ligi ya bara hasa kwa timu kubwa na hata ziitwazo ndogo zikiwa viwanja vya nyumbani na kwa matokeo mengi tuliyoshuhudia katika mchezo wa Boxing kutoa ushindi fake kwa mabondia wa nyumbani.
Kisiasa tupore ushindi, kimichezo nako tupore ushindi tunaenda wapi? Kila kitu sisi ni rafu?
Tubadikike.
Simba wali beba Ngao ya Jamii kwakubebwa mechi karibu zote mpaka kwenye matuta.
Mlandege hajabebwa kama alivyo Bebwa Simba Sasa huu ujasiri wa kuwasimanga Mlandege mnautoa wapi?
Mechi zote alizochezesha Tatu Malogo kwenye Ngao zili ibeba Simba na maisha yaliendelea.
Hapana mleta mada ni makolo anataja mfungaji wa goli la kuotea ni Shibobu aliyechezea makolo scHakuna haja ya kulalamika saana, ningekuona wa maana kama ungesisitiza matumizi ya Assistant Referee Video (ARV) next time kwenye mashindano haya, maana hata lefa ni mwanadamu mwenye macho mawili.
By the way mpira umechezwa dakika 90, kama APR walikuwa bora mbona hawakufunga jingine? pia kama walikuwa bora kwa nini hawakupiga penatI kwa ubora.
Ni kwamba washapigwa,ishaisha hiyo, na wanaolalamika hapa ni UTO na si APR.
Siamini aiseee, nadhani tuwape credit Mlandege.By the way ukiangalia kwa umakini mkubwa unaona kabisa kuna jamaa alikuwa offside na aliingilia mchezo.Hakuna goli lolote walilodhulumiwaKama uliangalia fainali ya mwaka jana Singida walinyimwa kombe kwa makusudi haiwezi kua bahati mbaya kila mwaka
Hili ni bonanza tu, just relax.Baada ya APR kunyimwa goli lililoonekana ni halali likifungwa na mchezaji Shiboub aliyewahi kuchezea Simba Sports. Baada ya mechi kocha wa APR alilalamika kubebwa waziwazi kwa timu ya nyumbani Mlandege jambo ambalo si la kiuanamichezo na kwa kuzingatia heshima ya mashindano hayo yanayoshirikisha timu za ndani na nje ya nchi.
Kibaya zaidi hii clip uionayo hapa juu Azam wameiachia kwenye social medias baada ya kusikia malalamiko kwani kwenye live TV interview ilipofikia kocha kutoa lawama na kutishia kutoshiriki tena basi kwa haraka walikatiza interview ya kocha na kuweka tangazo ili tuhuma alizokuwa akitoa zisisikike.
Huku ni kuonyesha udhaifu wa soka na pia vyombo vyetu vya habari hasa kile cha tibisii, asam na wengine wanaoripoti.Imagine huko Rwanda mashabiki wanaoamini timu yao kupokwa ushindi bado tena wanaona kocha wako akizimiwa live interview watajisikiaje?
Yaani ung'olewe meno halafu upewe bisi za kutafuna?
Tanzania inawezekana tumekuza matangazo tu ya mipira na viwanja ila soka bado sana kutokana na kubebana. Hayo mafanikio tunayosema Simba na Yanga wamepata kimataifa yamechangiwa na wachezaji wa kulipwa wa kigeni na sio wazawa wanaobebwa na ndiyo maana upande wa Taifa Stars isiyo na professionals wa kigeni bado tunajikongoja.
Ingependeza kiungwana referee wa mechi ya jana apewe adhabu stahili na pia TFF kuiomba radhi club ya APR ya Rwanda na Rais Kagame ambaye pia tunategemea kumfungia yule refa kutokanyaga Rwanda.
Azam TV pia ambao licha ya kutangaza mechi hiyo ni wadhamini pia wa APR wanapaswa kuomba radhi kwa kukatiza interview live katika Televisheni ili malalamiko ya Kocha yasisikike.Azam wamekuwa maduwanzi, hata kurudia lile goli kwenye kila angle wamekataa na ukweli ni kwamba sasa hivi ili kombe ni kama bonanza la CCM ambalo mshndi ni timu ya Mbunge aliyeandaa Bonanza.
Tujitathmini na Tukuze Soka kiuhalisia sio kwa upendeleo wa home team jambo ambalo limeonekana kukua mizizi hata kwenye ligi ya bara hasa kwa timu kubwa na hata ziitwazo ndogo zikiwa viwanja vya nyumbani na kwa matokeo mengi tuliyoshuhudia katika mchezo wa Boxing kutoa ushindi fake kwa mabondia wa nyumbani.
Kisiasa tupore ushindi, kimichezo nako tupore ushindi tunaenda wapi? Kila kitu sisi ni rafu?
Tubadikike.
Ulianza kuchambua vyema ila mwishoni umeonekana ni mwehu.Hakuna haja ya kulalamika saana, ningekuona wa maana kama ungesisitiza matumizi ya Assistant Referee Video (ARV) next time kwenye mashindano haya, maana hata lefa ni mwanadamu mwenye macho mawili.
By the way mpira umechezwa dakika 90, kama APR walikuwa bora mbona hawakufunga jingine? pia kama walikuwa bora kwa nini hawakupiga penatI kwa ubora.
Ni kwamba washapigwa,ishaisha hiyo, na wanaolalamika hapa ni UTO na si APR.
Nafikiri kuwa APR kwanza wamecheza mpira na ku-dominate mchezo kwa kiasi kikubwa. Wamekosa kosa magoli na pia tuseme ukweli, wanatakiwa wapewe maua yao.Ulianza kuchambua vyema ila mwishoni umeonekana ni mwehu.
Turudi ktk mada.
Timu bora haiwezi kulalamika chance moja ambayo imepoteza kwa uzembe wa refa, nakumbuka Chelsea na Barca pale Stamford Bridge game iliisha kwa 1-1 na Barca kwenda fainal, makosa mengi saana ya kimaamuzi yalitokea ila Chelsea ikakubaliana na matokeo na wala hawakuonesha ni ishu kubwa sana.
Mpira ndo ulivyo, ukiona umenyimwa goli, nenda kajipange awamu ijayo uje unyimwe mengine zaidi.
Ila kuna watu mna justification za kitoto. Uchezeshaji mbovu wa Mapinduzi cup unahusiana vipi na uchezeshaji ngao ya Jamii? Kwamba Mtu asiongee ubovu wa waamuzi pale Zanzibar kisa Simba ilipewa faida kwenye mikwaju ya penati pale tanga? Hapana ndugu tusiwazibe watu kisa wao binafsi Wana dhambi. Alichosema mleta mada Kiko Wazi, waamuzi wa Zanzibar siku zote huwaambii kitu Kwa timu zào za kizanzibari.Simba wali beba Ngao ya Jamii kwakubebwa mechi karibu zote mpaka kwenye matuta.
Mlandege hajabebwa kama alivyo Bebwa Simba Sasa huu ujasiri wa kuwasimanga Mlandege mnautoa wapi?
Mechi zote alizochezesha Tatu Malogo kwenye Ngao zili ibeba Simba na maisha yaliendelea.
Hakuna offside ya hivyoLile goli lilikuwa ni offside kweli we sema marefa wamefanya makosa mengi pia kwenye haya mashindano.
Labda nimeona vibaya ila naona kama kuna mcheji aliotea.Hakuna offside ya hivyo
Mwiko nyuma [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tatizo mwiko ulipowekwa huko,sasa hapa simba sc club kubwa barani afrika imefikaje?Simba wali beba Ngao ya Jamii kwakubebwa mechi karibu zote mpaka kwenye matuta.
Mlandege hajabebwa kama alivyo Bebwa Simba Sasa huu ujasiri wa kuwasimanga Mlandege mnautoa wapi?
Mechi zote alizochezesha Tatu Malogo kwenye Ngao zili ibeba Simba na maisha yaliendelea.
Hapa unachanganya madesa hiyo ni dawa ya kufubaza virusi vya ukimwi.Hakuna haja ya kulalamika saana, ningekuona wa maana kama ungesisitiza matumizi ya Assistant Referee Video (ARV) next time kwenye mashindano haya, maana hata lefa ni mwanadamu mwenye macho mawili.
By the way mpira umechezwa dakika 90, kama APR walikuwa bora mbona hawakufunga jingine? pia kama walikuwa bora kwa nini hawakupiga penatI kwa ubora.
Ni kwamba washapigwa,ishaisha hiyo, na wanaolalamika hapa ni UTO na si APR.
Ngoja uone finally ya mlandege na Simba Kisha mlandege atakavyopendelewa kisha njoo tena useme walalamikaji ni UTO.Hakuna haja ya kulalamika saana, ningekuona wa maana kama ungesisitiza matumizi ya Assistant Referee Video (ARV) next time kwenye mashindano haya, maana hata lefa ni mwanadamu mwenye macho mawili.