Mapinduzi Cup imeoza, mshindi amepangwa. Rwanda kutoshiriki tena? Simba inatolewa leo kwa Maelekezo?

Wewe topolo acha upumbavu, mlifunga goli gani likakataliwa? Kocha wenu kasema mlienda kujaribu wachezaji wewe unakuja na utopolo wako hapa.
Kolo Mimi sio Yanga Ila nafuatilia michezo ya makolo na nafurahi Sana mkifungwa
 
Mbona ni makosa ya kawaida sana kwenye football. Naona watu wanatake personal kwa sababu timu iliyocheza ni ya Zanzibar. Mara ngapi ligi kuu huku waamuzi wanafanya makosa ya wazi ? Je kwenye ligi yao ya Rwanda, hakuna Refa amewahi fanya kosa? Vipi kule Ulaya kwenye VAR hakuna makosa?Guys hakuna Sheria ngumu kama offside kwa mshika kibendera.Kwa mzingira ya lile tukio hadi marudio ya TV ndio unaweza kuona vyema kwamba aliyepiga kichwa siye aliyekuwa offside....naona APR wame overreact...
 
Mapinduzi tukifuuú
 
Zanzibar ama Wazanzibari wanapenda mbeleko sana.

Kila nyanja wanataka kubebwa/kupendelewa.

Wanyarwanda sio kama watanganyika waliojaa unafiki na uoga...wanyarwanda na Kagame wao kama ni nyeusi wanasema ni nyeusi na si vinginevyo.
Warwanda ni kama Wazungu, wanapiga peupe, hakuna unafki,
Refa alielezwa akakaza shingo kutokana na maelekezo.
 
Bila shaka wewe unatoka ukoo wa mbumbumbu
 
Kama uliangalia fainali ya mwaka jana Singida walinyimwa kombe kwa makusudi haiwezi kua bahati mbaya kila mwaka
 
Kama kweli kulikuwa na mpango wa namna hiyo, sidhani kama Yanga ingetolewa mapema. Nani hajui kwamba Yanga au Simba zinapotolewa mapema mapato hupungua??
Think.....
 

Upo sahihi 💯
 
Hapana mleta mada ni makolo anataja mfungaji wa goli la kuotea ni Shibobu aliyechezea makolo sc
 
Kama uliangalia fainali ya mwaka jana Singida walinyimwa kombe kwa makusudi haiwezi kua bahati mbaya kila mwaka
Siamini aiseee, nadhani tuwape credit Mlandege.By the way ukiangalia kwa umakini mkubwa unaona kabisa kuna jamaa alikuwa offside na aliingilia mchezo.Hakuna goli lolote walilodhulumiwa
 
Hili ni bonanza tu, just relax.
 
Ulianza kuchambua vyema ila mwishoni umeonekana ni mwehu.

Turudi ktk mada.

Timu bora haiwezi kulalamika chance moja ambayo imepoteza kwa uzembe wa refa, nakumbuka Chelsea na Barca pale Stamford Bridge game iliisha kwa 1-1 na Barca kwenda fainal, makosa mengi saana ya kimaamuzi yalitokea ila Chelsea ikakubaliana na matokeo na wala hawakuonesha ni ishu kubwa sana.

Mpira ndo ulivyo, ukiona umenyimwa goli, nenda kajipange awamu ijayo uje unyimwe mengine zaidi.
 
Goli lipi? Kama ni goli la Shiboob ile ni clear offside. Kuna jamaa alikuwa offside mbele yake aliruka kichwa kuingilia mchezo japo aliukosa mpira
 
Nafikiri kuwa APR kwanza wamecheza mpira na ku-dominate mchezo kwa kiasi kikubwa. Wamekosa kosa magoli na pia tuseme ukweli, wanatakiwa wapewe maua yao.

Mimi sio mchambuzi ila kiukweli ambacho hakisemwi Sana na wachezaji wa zanzibar kuunawa mpira katika eneo la kipa mara 3 kwa mimi nilivyoona ila refa kapeta. Na chakushangaza ni kuwa hata huyu shiboud mchezaji wa APR alilalamika Sana maana ipo sehemu alibambikiwa yeye kuwa ndo kaanza kuunawa mpira badala ya mchezaji wa zanzibar.

Pia wachezaji 3 wa zanzibar walionyesha mchezo wa hovyo kwa kwenda kuwapiga wachezaji wa APR ila chakushangaza, only kadi nyekundu zikatoka kwa mchezaji mmoja tu wa zanzibar. Wengine hawakupewa kadi na niseme tu kuwa wachezaji wa APR si wagomvi, ingekuwa ni simba au yanga, nadhani uwanja ungegeuka kuwa wa vitasa.

Kuhusu magoli yaliyofungwa na APR, ningekuwa mimi ni refa ningekubali lile bao Maana wakati mshika kibendera ananyoosha juu, ni kweli kulikuwa na offside ya mchezaji wa APR ila aliefunga bao yeye ndo hakuwa offside Hivyo tofauti yake ndo hapo.

Ushauri
Ingekuwa vizuri Zaidi kama mashindano haya ya mwaka ujao, walau kuwe na waamuzi ambao si wa Tanzania au nchi yoyote mwanachama mualikwa katika kombe hilo inaweza kuwa ni Bora zaidi. Mfano Kuchukua waamuzi toka hapo Malawi, zambia, south africa au hata hapo sudan. Hii inaweza shawishi nchi nyingi kuleta wachezaji wao na kuomba kualikwa.

Udhamini
Bado kuna umimi Sana Katika hili kombe, inatakiwa kuangalia kwa mapana kuhusu kombe hili KWA:-
1: kuongeza udhamini na fedha
2: matangazo ya muda mrefu hata miezi miwili kabla. Hata Azam TV wanaweza
3: liwe kombe kama la kawaida na sio kuweka vigezo vingi vya uzanzibari Sana
4: kuomba wadhamini wajitokeze kwa wingi na kuweza kutangaziwa bidhaa zao bure kwenye sehemu ya matangazo ya uwanja.
5: kutangaza utalii kwa kupunguza gharama za utalii zanzibar na hata timu zote shiriki kuweza kutembelea sehemu mbali mbali za utalii na kutangazwa kwenye media mbali mbali.
6: kuruhusu mfumo huru wa mechi zote kusiwepo na masuala ya siasa siasa kama Sasa muda wote ni matangazo ya uwanja, mara rais na kuandaliwa na serikali
 
Ila kuna watu mna justification za kitoto. Uchezeshaji mbovu wa Mapinduzi cup unahusiana vipi na uchezeshaji ngao ya Jamii? Kwamba Mtu asiongee ubovu wa waamuzi pale Zanzibar kisa Simba ilipewa faida kwenye mikwaju ya penati pale tanga? Hapana ndugu tusiwazibe watu kisa wao binafsi Wana dhambi. Alichosema mleta mada Kiko Wazi, waamuzi wa Zanzibar siku zote huwaambii kitu Kwa timu zào za kizanzibari.
 
Mwiko nyuma [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tatizo mwiko ulipowekwa huko,sasa hapa simba sc club kubwa barani afrika imefikaje?
 
Hapa unachanganya madesa hiyo ni dawa ya kufubaza virusi vya ukimwi.
Technologies siku hizi zipo moto kumbe imeanza na kusaidia waamuzi viwanjani
 
Ngoja uone finally ya mlandege na Simba Kisha mlandege atakavyopendelewa kisha njoo tena useme walalamikaji ni UTO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…