Mapinduzi Cup imeoza, mshindi amepangwa. Rwanda kutoshiriki tena? Simba inatolewa leo kwa Maelekezo?

Ukiona tunabebwa we nenda ukapakatwe
 
Mwisho wa rushwa, upendeleo, mbeleko ni aibu.
Angalia aibu waliojiletea CCM kwa kumteua Gwajima Kawe, Mkumbo Ubungo, Mzava Korogwe na Ile aibu ya Tunduma na Hai.
Kwasababu upendeleo Ni utamaduni Sasa, CCM hawataacha mpaka waachwe.
 
Kuunawa Mpira Inategemea ni ball to hand or hand to ball.
Waamuzi nao ni binadamu wanakosea na hawana uwezo wa ku cover matukio yote uwanjani hasa kama matukio mengine yamefanyika kwa split second .
Yanga alinyimwa goli 2 sio 1 goli 2 wakisema ni offside dhidi ya mtani wa jadi na bado refa na linesman wakashindwa kuona makosa ya Ali salum katika kuzuia penati mwisho wa siku yanga akakubali matokeo ingawa alimiliki Mpira kwa sehemu kubwa ya mchezo , alivyokuja kujipanga akapiga 🖐🏿 ubishi ukaisha.
Apr waache kulialia ajipange arudi mwakani wala sio baada ya Miaka 4 Kama WC.
Mpira ni mchezo wa matukio ya kutatanisha wakati mungine.
Angalia fainali ya WC 2022 angel dimaria anaguswa kidogo tu (soft touch )anajiangusha penati inapigwa mesi anafunga goli la kwanza .
 
Mpira wa miguu ,kama maisha tu makosa yapo kila siku hakuna cha maelezo wala nn ,wapi ambako mpira unachezwa ukakosa makosa ,uko ktk mpra kwel yamewashinda wakabuni visaidizi na bado matatzo na makosa yako kila siku ..,, au hao apr watakua tayr kukir kwamba tokea waanzishe timu hawajai kukosewa au kukosea ndio kwanza mwaka huu Zanzibar ,,,,,mashindano aya aya walipewa goli sio halali mbona hawakulalamika sitetei lakin hakukua na kosa la kuongea vile ,nazan uchungu wa kumfunga yanga alaf unakuja kutolewa na timu ya kawaida.
 
Inaonekana miaka 60 ya Mapinduzi kombe lazma libaki Visiwani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…