Ila Watani zangu mmejaliwa sana Kauli. Daah. π€π€
Hahahaaa. Wanalo mwaka huu Swahiba.
Pole Mtani. ππMkude na chama wanapooza mashambulizi bora watoke
πππ pole Mkuu.
Swahiba walijua Mtibwa ni timu ya mchezo mchezo. ππ
Sawa.Simba ubingwa ni lazima mtibwa hawana mikono ya kubebea kombe hawa
Mdogo wangu huwa kisikia hii kauli huwa nacheka tu hihihihihiiiii.
Si wanajua kuiga si tulipomfukuza Zahera wakaona na wao wamfukuze Ausems. πTuacheni utani, Simba walifanya ujuha kufukuza kocha
Nakazia Mkuu. πππ
Na kukanyagana. πΆπΆπΆπΆHahah Migambo inaruka na kukanyagana......
Siku hizi wanamwita pazia eti. πππHivi golini yupo Manula au?!
π€π€π€π€Wala hofu sina....mnyama anabeba ndoo.!!
Na tumelala na viatu ujue. π€ͺπ€ͺπ€ͺπ€ͺSimba tunapumulia machine hapa kwakweli leo na tumebebwa maana penati ya wazi mtibwa wamenyimwa......
Kweli yamekufika kooni Mtani. Pole.Naona kocha anavyohangaika kufanya sub kwa usenge alioufanya first 11
Yaani leo kutakuwa Bardiii.Go Mtibwa, go go.......wanyoosheni hao ili kesho kazi zifanyike maofisini
Sent using Jamii Forums mobile app
ππππDakika ya 80 bado kamoja kameganda tu
Pole Mkuu Wangu. Ndio Soka la kwetu TZ hilo.Michezaji senge. Ila binafsi lawama kuu ziende kwa uongozi. Mbwa kabisa uongozi!
Mkamfukuza uchebe. Mimi mpaka kesho nitaendelea kupinga kuondolewa uchebe.
WACHA IWAUWE.Simba hakuna timu zaidi ya porojo za kwenye mitandao tu.