Mapinduzi Cup: Mtibwa yatwaa kombe la Mapinduzi baada ya kuichapa Simba kwa goli 1 - 0

Liverpool FC ilifungwa 5 - 0 na Aston Villa katika kombe la Carabao (Wengine mmezoea Carling Cup).

Lakini Liverpool hiyo hiyo imeshinda michezo 20 na kutoa sare 1 katika michezo 21 ya ligi (EPL).

Hivyo basi, vipaumbele ndio tatizo. Simba ametimiza wajibu kushiriki kwenye hako kakombe na sio kwamba ilikua ndio kipaumbele chake. Simba kipaumbele chake ni kuwa bingwa wa Afrika na Tanzania sio kushinda kakombe kanakochezwa week moja.
 

Kuna watu wana mtindio wa ubongo mkuu,achana nao
 
MO toa pesa zako huko ni bora ukawekeze kwenye kilimo cha matikiti maji.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Bora sisi timu ya Wananchi tulifungwa tunakimbia majukwaani mpaka yakiisha tunajirudia kimya kimya.

Ila nyie sasa Mtani. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ tunayasikia mpaka ambayo hatukuyatarajia. πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ila mashabiki wa Simba huwa mnanifurahisha sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…